Staa wa Manchester United, Marcus Rashford amekataa kuitupilia mbali nafasi ya kutaka kuondoka Old Trafford katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Rashford, 23, ameelezea shauku yake ya kucheza moja ya miamba ya Hispania kati ya Barcelona au Real Madrid pia kutaka kujifinza lugha za kigeni.
“Siwezi kusema hapana, mbali ya Man United mimi ni shabiki mkubwa wa Barcelona na Real Madrid kwa sababu kila siku wana wachezaji wazuri vilevile wanacheza mpira mzuri. Kila mtu anaiangalia Real Madrid na Barcelona”.
Maneno hayo ya Rashaford yameonekana kuzua mjadala mkubwa ukizingatia kumekuwa na lundo kubwa la wachezaji kutoka England waliojiunga na miamba hiyo ya Hispania kwenye siku za karibuni.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.