Mchezaji wa Manchester United, Rashford yuko mashakani kukosa mwanzo mwa msimu wa 2021/2022 baada ya uwezekano mkubwa wa kufanyia upasuaji wa mguu pindi tu michuano ya Euro 2020 itakapokamilika.

Marcus ni miongoni mwa wachezaji 26 waliochaguliwa na Southgate kuwakilisha Uingereza kwenye Euro 2020, na kutokana na uzalendo wake Marcus anatamani kufanya upasuaji punde tu baada ya kuhitimu majukumu ya kitaifa.

Manchester United wameoneshwa kuwa na wasiwasi na mchezaji huyo kutokana na uwezekano mkubwa wa Rashford kukaa nje kwa kipindi kirefu zaidi ili kuruhusu upasuaji wake kupona kabisa.

Rashford amekuwa mtu muhimu sana kwa Uingereza, kote kwa Klabu, taifa na hata wananchi wa mtaani ambao wanapitia mazingira magumu. Bila shaka atapona na atarejea uwanjani na kuendeleza jitihada zake!

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa