Raisi Napoli – Aurelio De Laurentiis ametangaza rasmi kuwa klabu hiyo imemsaini Victor Osimhen kama mchezaji wao halali. Staa huyu amesaini mkataba wa miaka mitano kuwepo pale Stadio San Paol.
Nyota huyu, mwenye miaka 21 ambaye ni raia wa Nigeria, anatajwa kuwa mmoja wa wachezaji wa kiafrika wenye thamani kubwa zaidi wa wakati wote. Anatajwa kuwa na thamani ya €60m pamoja na bonasi, wakati Golikipa Orestis Karnezis yeye anaelekea Lille ikiwa ni sehemu ya dili hili.

Hata hivyo, staa huyu anakuwa ni mchezaji wa gharama zaidi kwenye historia ya usajili wa Napoli, baada ya kuvunja rekodi ya Hirving Lozano aliyetokea PSV Eindhoven kwa €38m.
Victor Osimhentayari alishafanyiwa vipimo Julai 18 kule Roma na anatarajiwa kuwasilishwa kwenye vyombo vya habari baada ya likizo yake ya msimu wa joto.
Anatarajiwa kuwa ataongeza chachu mpya katika safu ya ushambuliaji, na atakuwa anavaa jezi namba 9 ambayo kwa sasa ipo mikononi mwa Fernando Llorente.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Devotha
Hongera sana Victor nenda ukaitendee haki jezi namba 9
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Gabriel
Dogo yuko vzur sana
Zuhura omary kindamba
Hongera sana
Angelina
Goodnews
David Pere
Victor amewnda kwenye timu ambayo itamfanyia Mambo mazuri Sana has a kucheza Mara kwa mara
Theckla
Victor ni mchezaji mzuri sana na anapokwenda ni sahihi
Omary lukumbi
Hongera yake Victor
Mwajumah
Hongera sana#Meridianbettz
Dorophina
Victor ni mchezaji mzuri sana anajielewa
Adelta
Dogo Victoria yupo vizuri#meridianbettz
Mwanahamisi
Hongera sana
Magdalena
Taarifa njema kwa Napoli
Khadija
Safi sana#meridianbettz
Fatina mfingi
Hongera sana
Caroline
Safi Sana Victor ni Jambo zuri
Rehema
Hongera kwao
Zeiyana
Ni mchezaji anayejituma sana kama Napoli wakimtumia vizuri tunategemea matokea mazuri kwenye clabu hiyo
Tatu
Good news
Ernest
Deal zuri kwa Victor Osimhen
Shafii
Jambo zuri Sana kwa wana Napoli
Lydia Emmanuel Magoti
Safii saa Victoria Osimhen nimchezaji mzuri Sana
jullie
DEAL DONE
Povel
Hongera kwake
Rose kapinga
Hii nzuri
felister
dili nzuri sana kwa victor
aisha
Victor kila la kheri huko uendapo
Antony Luseno
Gattusso kapata mchezaji mahiri sana
Hope mwaikuka
Hongera kwake
Amiri Kayera
Safii
Fatuma kasomo
Gud news
Saupha mohamed
Vizuriii
Flomena
Hongera kwake
Sabrina
Wooh hongera yake
warda
Nilijua tu