Roman Abramovich Ndani ya Stamford Bridge

Roman Abramovich mmiliki wa timu ya Chelsea kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu ameweza kuishuhudia timu yake ya Chelsea ikicheza ndani ya dimba lake la Stamford Bridge walipomenyeana na klabu ya Manchester United kwenye mchezo ulioisha kwa sare ya moja moja.

Japo hakuwezekana kukamatwa na kamera za uwanjani lakini alikuwepo kuangalia mpira huo ndani ya uwanja mtu wake wa karibu alitoa taarifa hiyo, Roman Abramovich yupo jijini London tokea wiki iliyoisha akimpokea raisi wa Israel kwenye dimba la Samford Bridge.

 Roman Abramovich
Roman Abramovich

Abramovich hakuuzulia mchezo wowote wa klabu yake tangia mchezo wa 2018, baada ya kupata matatizo ya visa, na pia ni mwaka huo huo alipatiwa uraia wa Israel na alikwenda kuhudhuria mchezo wa fainali ya ligi  ya mabingwa kati Chelsea na Manchester City nchini Ureno kwenye dimba la Estadio do Dragao.

Abramovich aliinunua klabu Chelsea mwaka 2003 na kuisaidia kuwa klabu yenye nguvu jijini London na ulaya kwa ujumla, Roman Abramovich anakadiliwa kuwa na utajiri wa $14.1 billion kulingana na taarifa zilizochapishwa na jarida la Forbes mwaka 2021.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.