Baada ya michezo kusimamishwa tangu Machi, vilabu viltakiwa kuzingatia kuweka akiba kipindi hichi ligi imesimama ili kumudu gharama za uendeshaji.

Villa wamethibitisha kuwa wachezaji wamekubali kukatwa mshahara, na CEO amesema hatua hii “itawalinda watumishi wetu muhimu na familia zao.”
“Wachezaji, makocha na wakurugenzi wakuu wamekubali kukatwa 25% ya mshahara kwa miezi 4 kusaidia klabu kipindi hiki kigumu” Purslow said in a statement.
“Wachezaji wetu na watumishi wanajisikia furaha kuungana na vilabu vingine kwenye kiwanda cha soka ambao wana changamoto ya kiuchumi na sisi tunaamini ni sawa kwa Premier League kama wote kuchukua hatua za kiuchumi ili kuweza kusaidia vilabu kipindi hiki.”
Kwenye suala la kuweka akiba, vilabu vingine vya Premier League vimeamua kutumia mfuko wakujikimu wa serkali ambao unaweza kusaidia kulipa mishahara hadi 80% ya mishahara ya wafanyakazi.


Furahav
Noma ila kawaida tu.
Edgar
sawa ila na mkubaliano kayi ya viongozi wa club pamoja na wachezaji