Sarpong is Yellow

Baada ya kumshusha leo mchezaji mpya Michael Sarpong, raia wa Ghana ili kuja kumalizana na Yanga kwa ajili ya msimu wa 2020/21. Uongozi wa Yanga umesema kuwa unafanya usajili makini kwa manufaa ya timu na wachezaji.

Leo Agosti 21, Sarpong ameshuka Dar kwa ajili ya kukamilisha usajili wake ndani ya Yanga na habari zinaeleza kuwa ni dili la miaka miwili.

Akizungumza na Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wana imani siku ya kilele cha wananchi Agosti 30 watakuwa na wachezaji wengi wazuri ambao watapambana kwa ajili ya msimu ujao.

“Tupo kwenye maboresho ya kikosi chetu ndio maana unaona usajili wetu tunaufanya kwa umakini mkubwa na kuweza kufanya mambo kwa usahihi imani yangu ni kwamba kila mmoja atafurahi kuona yale ambayo tunayafanya.

“Mashabiki wasiwe na mashaka waendelee kutupa sapoti na wiki ya Wananchi tunaanzia makao makuu ya nchi Dodoma kisha tutamaliza ndani ya Uwanja wa Mkapa, wote tupo tayari na tunapenda kufanya mambo mazuri,” amesema.

Sarpong amesema kuwa anafuraha kubwa kwa kuwa amepokewa na mashabiki kwa furaha jambo ambalo ni deni kwake.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

39 Komentara

    yanga kwa usajili unaoendelea kama mkiwatumia vizuri wachezaji watawaletea manufaa makubwa sana katika timu vinginevyo mtaambulia patupu

    Jibu

    Yajayo yanafurahisha sana ndani ya VPL sema tuu yanga waache janja janja katika mikataba na mishahara ya wachezaji kwa ujumla

    Jibu

    Hapo kazi ipo ngoja tusubiri tuone
    @meridianbettz

    Jibu

    Sarpong karibu Yanga chama la wajanja

    Jibu

    karibu yanga#meridianbettz

    Jibu

    Karibu yangu chama la kibabe#meridianbet

    Jibu

    Usajili kwa yanga umepamba moto wakifeli tena msimu ujao watakuwa wamewaangusha mashabiki sana

    Jibu

    Hii ndio yanga mpya naona sa ishatoka kwenye wanachi sio kwa usajiri huu

    Jibu

    Karibu sana timu ya wajanja

    Jibu

    kwa usajili huu yanga msimu ujao tutegemee mambo mazuri zaidi

    Jibu

    Penye nia pana njia ila kazi yanga bado mnayo!

    Jibu

    Kwa bahati mbaya Klabu zetu zinaona fahari kusajiri wachezaji wa kigeni jambo ambalo ni hatari ktk kukuza wachezaji wetu wa ndani. Mafanikio ya Timu ya Ujerumani yametokana na program ya kukuza wachezaji wao wa ndani#meridianbettz

    Jibu

    Tutamuona ligi ikianza

    Jibu

    Hapo kuna kazi acha tusubili tuone nini kitatokea

    Jibu

    Karibu yanga#Meridianbettz

    Jibu

    Kwa msimu huu naona yanga mnatufokea

    Jibu

    Tunasubir tuone maajabu yake

    Jibu

    Vizurii sana yangaaa

    Jibu

    Sarpong ni mchezaji mwenye kaliba kama Benard Morrison hana tabia nzuri kabisa yani kila kilabu anayochezea basi anakua na mwisho mbayaa

    Jibu

    Karibu Sana chama isiyopenda sifa yanga Africa

    Jibu

    Mmh msimu ujao itakua hatari vifaa kama hivi aah watasubir

    Jibu

    Tusubiri kuona magalasa

    Jibu

    Vizuri yangu

    Jibu

    Upo vzr

    Jibu

    Kiukwel ukianza kuangalia nchi Kama Ghana n nch ambayo vipaji vya pekee vinapatikana huko me ninamatumain ya Michael Sarpong maana ni bonge la mchezaji yuko vizur sana 👍

    Jibu

    Haya kapambane

    Jibu

    DEal done saprong is MWananchi

    Jibu

    Usajili mzuri

    Jibu

    Yanga ya msimu ujao itakua haishikiki.

    Jibu

    Yanga mmefanya sajili za kutosha,tunataka kuona mabadiliko!!!

    Jibu

    Yajayo yanafurahisha sana ndani ya VPL sema tuu yanga waache janja janja katika mikataba na mishahara ya wachezaji kwa ujumla

    Jibu

    Imekaa powa sana tunasubiri faida ya usaji tu

    Jibu

    Safi Sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Daima Mbele nyuma mwiko

    Jibu

    Daima mbele nyuma mwiko usemi mkubwa wa dar young African kwa usahili matumaini makubwa kwa wanajangwani kufanya maajabu kwa misimu ijayo.

    Jibu

    Mmmmmm!!!!! Kazi wanayo wanavyohangaika

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.