Son Abeba Tuzo ya Mchezaji Bora Wa Mwezi

Amakweli “Mvumilivu hula mbivu”. Son Heung-Min, ni uthibitisho wa msemo huu. Baada ya miaka 3 na nusu kwenye EPL, amebeba tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.

Son ameibuka kidedea miongoni mwa wachezaji 7 waliokuwa wanawania tuzo ya mchezaji wa mwezi Oktoba kwenye Ligi Kuu Uingereza – EPL.

Mchezaji huyu raia wa Korea Kusini, amekuwa kwenye kiwango thabiti msimu huu. Umahiri wake wa kutawala mpira na uwezo wake wa kukimbia kwa kasi, ni kati ya silaha zake kubwa.

Son Akishangilia Moja ya Magoli yake msimu huu.

Kwa mwezi Oktoba pekee, Heung-Min amepachika magoli 4. Katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Man United, alipachika magoli 2 na kutoa pasi ya goli 1.

Hii ni mara ya 3 kwa mshambuliaji huyu kubeba tuzo ya mchezaji bora wa mwezi katika maisha yake ya soka. Alifanya hivyo mwaka 2016 (Septemba) na 2017 (Aprili).


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

23 Komentara

    Son amekua kwenye kiwango bora toka msimu ulivyoanza na ligi ya msimu atweka rekod. Zaidd

    Jibu

    Congratulation son

    Jibu

    Hongera son haki yako upate tuzo

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    hongera son

    Jibu

    Safiiiii

    Jibu

    Hongera son..

    Jibu

    Safi Sana

    Jibu

    safi sana son tangu unaanza soka nakukubali kinoma endelea kukaza unyakue mataji mengi

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Pongez zake

    Jibu

    Hongera yake son

    Jibu

    Kuna baadhi ya wachezaji ni nguzo spurs,son ni moja wao hongera sana kwake

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Congrats Son Ronaldo🤝🤝🤝🤝

    Jibu

    Son mk hatari sana huyu mtu na atazid kuweka rekod sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Mchezaji huyu raia wa Korea Kusini, amekuwa kwenye kiwango thabiti msimu huu. Umahiri wake wa kutawala mpira na uwezo wake wa kukimbia kwa kasi, ni kati ya silaha zake kubwa.

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera son

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.