Australian Open: Serena na Osaka ni Moto!

Serena Williams akiwa katika mchakato wa kulisaka taji la 24 la Grand Slams, ameibuka kidedea kwenye mchezo wa Australian Open.

Williams alitumia dakika 56 kumuangamiza mpinzani wake, Laura Siegemund katika mchezo uliohudhuriwa na mashabiki wachache pale Rod Laver Arena.

Serena aliibuka na ushindi wa seti 6-1 6-1 dhidi ya Laura ambaye ni raia wa Ujerumani.

Naomi Osaka

Upande wa pili, bingwa wa US Open 2020, Naomi Osaka alimfunga Anastasia Pavlyuchenkova kwa seti 6-1 6-2 katika mchezo wa kwanza wa mashindano hayo.

Kwa matokeo haya, Osaka atachuana na Caroline Garcia wakati ambapo Venus Williams atachuana na Sara Errani baada ya kumfunga Kirsten Flipkens kwa seti 7-5 6-2 katika mchezo wa kwanza wa Australian Open.


TENGENEZA MKWANJA UKIWA NA MERIDIANBET 

Unaweza kuvuna mkwanja mrefu kadiri uwezavyo kupitia mchezo wa Gold n Rocks kwenye  kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ni rahisi! Vigezo na masharti, kuzingatiwa.

SOMA ZAIDI

14 Komentara

    Nilijua tu Serena hajawahi kosea kwenye kipengele chake

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Serena anatakiwa apambane Sana ili aweze kunyakua ubingwa msimu huu

    Jibu

    Mambo fire

    Jibu

    Pongezi kwake serena

    Jibu

    Safi sana Serena

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Nakubalii

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Mambo mazuri

    Jibu

    Serena bado yupo fit

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.