Tetesi zinasema kocha cha Tottenham, Jose Morinho anasubiri muda unaofaa kufungua mazungumzo ya kuongeza mkataba na mshambuliaji wa korea kusini Heung-min Son ambaye mkataba wake unakamilika 2023.
Majeraha ya beki wa Real Madrid Sergio Ramos kunaweza kuzuia mazungumzo ya mkataba mpya na klabu hiyo mpaka atakapo pona, mkataba wake unakamilika majira ya kiangazi.
Tetesi zinasema kocha wa AC Milan Stefano Pioli anafurahia huduma za mshambuliaji Zlatan Ibrahimovich na angependa aendelee kusalia katika klabu hiyo.

Tetesi zinasema mkurugenzi wa ufundi wa Ajax, Marc Overmars anatarajiwa kuondoka katika klabu hiyo huku akihusishwa kujiunga na Arsenal au Barcelona.
Kiungo wa Tottenham Tanguay Ndombele amesema anahitaji kubadilika ili kuendana na mpira wa ligi ya EPL.
Meneja wa Crystal Palace, Roy Hudgson amesema mchezaji wake Wilfred Zaha angependa kusalia katika kikosi hicho licha ya tetesi kusema angependa kushiriki katika Ligi ya mabingwa.

Mshambuliaji wa Chelsea, Timo Werner amesema anaangalia zaidi kucheza na baadaye magoli yatakuja japokuwa hajafungwa kwa muda mrefu.
Mwamuzi wa zamani wa Ligi kuu ya England Mark Halsey anasema VAR imegeuka kichekesho na kunasababu ya kuwafikiria waamuzi wanaokaribia kuchoka.
Unaweza kuvuna mkwanja mrefu kadiri uwezavyo kupitia mchezo wa Gold n Rocks kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ni rahisi! Vigezo na masharti, kuzingatiwa.



warda
Tetesi ziko poa sana
Ernest Kimeru
Werner hana jipya, Zlatan jeshii
Magdalena
Mourinho nae Hana maajabu Tena maneno yamekuwa mengi sana
Khadija
Nice
Dorophina
Pole yake ramos majeraha yamekuwa changamoto kwake
Venerose
Goods
Rahma
Tetes ziko poa
Hopemwaikuka
Zmeeleweka sana
Sarah
Tetesi safi
Angelina
Niceupdate
Mwanahamisi
Good
Sania
Tetesi ziko moto
lombo
vzr
Lydia Emmanuel Magoti
Tetesi zipo poa
Chiku
Safi sana