Italian Open: Djokovic na Nadal Wanaongoza

Mashindano ya Italian Open yanaendelea kwa kasi. Magwiji, Novak Djokovic na Rafael Nadal wanaendelea kuonesha umwamba wao kunako mchezo wa tenesi.

Katika mchezo uliochukua masaa mawili. Djokovic alionesha ubora wake dhidi ya Filip Krajinovic na kumburuza kwa seti 7-6 6-3. Matokeo haya yanamfanya Djokovic kufuzu hatua ya robo fainali kwa miaka 14 mfululizo.

Italian Open inakuwa ni michuano ya kwanza kwa Djokovic kushiriki baada ya kuondolewa kwenye Mashindano ya US Open 2020 kwa kosa la kumpiga mwamuzi.

Bingwa mtetezi – Rafael Nadal, amemfunga Dusan Lajovic kwa seti 6-1 6-3 na kutinga hatua ya robo fainali.

Sasa Djokovic atacheza na Dominik Koepfer katika robo fainali ya mashindano haya. 2019, Djokovic alipoteza mchezo wa fainali dhidi ya Nadal, mwaka huu Nadal atakuwa akiutafuta ushindi wake wa 10 kwenye mashindano haya.

“Nadhani nimecheza katika kiwango kikubwa cha tenesi. Bado ninahitaji kuboresha zaidi. Ninatakiwa kufanyia kazi baadhi ya vitu ambavyo havitokei tu vyenyewe lakini pia siwezi kulaumu sana. Ni bora kuliko nilivyotarajia.” amesema Nadal.

Nadal atachuana na Diego Schwartzman katika mchezo wa robo fainali.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

46 Komentara

    Hawa jamaa ni mafundi..

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Wote ni wakali kwenye mchezo wa tenis

    Jibu

    Djokovic na Nadal naona wanataka kurufisha heshima yao baada ya changamoto kutoka kwa vijana kwenye mashindano ya USA Open

    Jibu

    Nadal naona akichukua Italian open

    Jibu

    Ni mchuano mkali ila Nadal atawagaragaza kama kawaida

    Jibu

    mambo yanazidi kuwa mazuri zaidi

    Jibu

    Duuh kazi itakuwepo apo maana mchuano utakua mkali#Meridianbettz

    Jibu

    Nawakubal sanaa hao watu

    Jibu

    Wote ni wakali

    Jibu

    Wako vizuri

    Jibu

    Wapo vzuri

    Jibu

    Wapo vizuri kwenye mchezo watenes wanajua

    Jibu

    Itakuwa hatari sana

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Wako vizuri

    Jibu

    Wote ni wakali

    Jibu

    Baada ya kutimuliwa US open sasa amehamishia nguvu zake ITALIAN OPEN#meridianbettz

    Jibu

    Pongezi kwao wapo vizuri@meridianbettz

    Jibu

    Nadal ni lazima afanye maajabu

    Jibu

    mchuano mkali

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nawakubali sana#meridianbettz

    Jibu

    Nadal ni kinara na ataburuza kama kawaida yake

    Jibu

    Gud

    Jibu

    wapaambne zaid

    Jibu

    Mambo moto

    Jibu

    Wachezaji wenye uwez mkubw kweny Tennis

    Jibu

    Wapo vizuri

    Jibu

    Mafundiii wanaonyesha uwezo!!

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Congrat nadal

    Jibu

    hongera zaooo

    Jibu

    Mambo yanazidi kunoga

    Jibu

    Wote wapo vizur

    Jibu

    Mambo yanazidi kuwa mazuri

    Jibu

    Hatmaye wanaendeleza ubingwa

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Makala bomba.

    Jibu

    Bingwa mtetezi – Rafael Nadal, amemfunga Dusan Lajovic kwa seti 6-1 6-3 na kutinga hatua ya robo fainali

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Djokvic mwamba sana kweny tenis

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.