Tetesi zinasema klabu ya Barcelona imempatia ofa mshambuliaji wa Argentina na Manchester City Sergio Aguero, 32, ambaye atakuwa mchezari huru mwisho wa msimu huu.
Real Madrid itasubiri ofa za beki Raphael Varane mwisho wa msimu huu. Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 27 anaaminika kutaka kucheza katika ligi ya England.

Tetesi zinasema Chelsea huenda ikamuuza mshambuliaji wa Ujerumani Timo Werner mwisho wa msimu huu mwaka mmoja baada ya kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kutoka RB Leipzig kwa dau la £54m.
Mshambulaiji wa Manchester United Edison Cavani atasubiri hadi mwisho wa msimu kabla ya kuamua hatma yake licha ya babake raia huyo wa Uruguay kusema kwamba alitaka kujiunga na Boca Juniors.
Suala la kuongeza kandarasi ya Christiano Ronaldo sio ajenda ya klabu hiyo kwa sasa kulingana na mkurugenzi wa klabu hiyo Fabio Paratici.
Tetesi zinasema Liverpool inafikiria kumfuatilia winga wa Brazil mwenye umri wa miaka 16 Angelo Gabriel.

Tetesi zinasema Newcastle wanatarajia kumsaini beki wa kushoto wa England Matthew Bondswell kwa uhamisho wa bila malipo baada mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 kuondoka klabu ya RB Leipzig.
Mshambuliaji wa Portugal Eder anavutia na Brighton huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 akitarajiwa kuondoka katika klabu ya Lokomotiv Moscow mwisho wa msimu.
Ni Burudani Iliyokithiri na Mkwanja Nje Nje Katika Mchezo Halisi wa Chicago Gold.
Fanikisha malengo yako bila kuumiza kichwa, tengeneza mkwanja bila wasiwasi na kasino ya Meridianbet. Jiunge sasa Ufurahie Chicago Gold kasino.



Venerose
Hongera sana Sergio
Rahma
Ziko poa tetesi
Lydia Emmanuel Magoti
Tetesi zipo poa
Hopemwaikuka
Nakubal
Caroline
Asante kwa taarifa
warda
Hongera yake
Neema juma
Hongera yake
Adelta
Ziko vizuri Sana
Sarah
Zimeeleweka tetesi
Angelina
Nice update