Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Arsenal itapokea ofa ya mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 32, ambaye anaweza kuondoka katika klabu hiyo mwezi huu.

Arsenal wamepeleka ofa ya euro milioni 70 (£58.3m) kumnunua mshambuliaji wa Fiorentina na Serbia Dusan Vlahovic hatua ambayo huenda ikamfanya kiungo wa kati wa Uruguay Lucas Torreira, 25, kuhamia klabu hiyo ya Serie A club kwa mkataba wa kudumu.

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Red Bull Salzburg Mjerumani Karim Adeyemi, 19, analengwa na Borussia Dortmund kuchukua nafasi ya mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 21.

 

Karim Adeyemi
Karim Adeyemi

Mchambuliaji wa Flamengo Mbrazil Brazil Gabriel Barbosa, 25, yuko tayari kujiunga na Newcastle United licha ya klabu hiyo kukabiliwa na tisho la kushuka daraja.

Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Uholanzi Donny van de Beek, 24, atatathmini chaguo lake Januari huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 akifikiria kuondoka Manchester United.

Mkufunzi wa Tottenham Antonio Conte bado hajakutana na mwenyekiti Daniel Levy kujadili uhamisho wa Januari. Kiungo wakati wa AC Milan na Ivory Coast Franck Kessie, 25, ni miongoni mwa wachezaji wanaolengwa na Mtaliano huyo.

Tetesi zinasema, Klabu za Brighton na Crystal Palace zinapania kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Eddie Nketiah,22, mwezi huu wa Januari.

 

Eddie Nketiah
Eddie Nketiah

Tetesi zinasema, Roma anajiandaa kukamilisha uhamisho wa mkopo wa kiungo wa kati wa Arsenal Ainsley Maitland-Niles, 24, wiki.

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola yuko tayari kumuachilia mlinzi wa Uhispania Aymeric Laporte, 27, kuondoka katika klabu hiyo na kujiunga na Barcelona endapo kiungo Luke de Jong atahusishwa.

Mshambuliaji wa Italia Lorenzo Insigne atajiunga na klabu ya MLS yaToronto msimu wa joto baada ya nahodha huyo wa Napoli mwenye umri wa miaka 30 kukubali mshahara wa euro milioni 11.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.