NBA: King James Aongoza Mashambulizi

LA Lakers wameambulia ushindi wao wa tatu mfululizo katika muendelezo wa NBA. LeBron James, anaongoza mashambulizi.

Lakers walikua wakichuana na Sacramento Kings katika mchezo ambao, Lakers walijikuta wakielekea kuupoteza kwa matokeo ya pointi 96-89 huku zikiwa zimesalia dakika 8 mchezo kutamatika.

Ligi ya NBA ni kama soka, kila dakika inaweza kufanya kitu cha kipekee. James alipachika jumla ya pointi 14 huku Malik Monk akiongeza zingine 11 ndani ya dakika 8 na kuwapa Lakers ushindi wa pointi 122-114.

Ushindi kwa Lakers ni muendezo wa Kings kupoteza mchezo wa 2 kati ya 5 waliyocheza hivi karibuni.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.