Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema baadhi ya wachezaji wa Real Madrid wanadai kuridhishwa na hatua ya kuondoka kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale kuhamia Tottenham kwa mkopo.

Tetesi zinasema Rennes wanakaribia kukubaliana na Chelsea katika dili lausajili wa kipa wa kimataifa wa Senegal Edouard Mendy, 28.

Liverpool imeulizia uwezekano wa kumpata kwa mkopo winga wa Ufaransa na Barcelona Ousmane Dembele, 23.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Manchester United wameafikiana na Porto kumhusu beki wao Alex Telles and the 27- sasa kiungo huyo wa kimataifa wa Brazil anaweza kusaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo.

United sasa wanahitaji kufanya hima kukamilisha mchakato wa usajili ili kumpata nyota huyo baada ya Paris St-Germain kujiondoa katika kinyang’anyiro cha kumsaka Telles.

Manchester City wanapania kumsajili beki wa kati na nyuma wa Sevilla Jules Kounde, 21.Hatua hiyo huenda ikamfanya mchezaji wa kimataifa wa Argentina Nicolas Otamendi, 32, kuhama City.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Mkufunzi wa Sheffield United Chris Wilder amesema klabu hiyo imefanya mazungumzo na Liverpool kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Muingereza Rhian Brewster, 20 kwa mkopo.

Lakini Crystal Palace pia wanataka kumsajili Brewster kutoka kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England kwa mkataba wa kudumu.

Tetesi zinasema Leeds bado wana matumaini ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Argentina anayecheza safu ya kati Rodrigo de Paul, 26,kutoka Udinese.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Juventus wanataka kumsajili tena Moise Kean, 20, kutoka Everton wakati mshambuliaji huyo wa Italia akijikakamua kutulia Goodison Park tangu alipotua hapo msimu wa joto wa 2019.

Tetesi zinasema Arsenal, Leeds na Wolves wanamfuatilia kiungo wakati wa Reading mwenye umri wa miaka 18 Michael Olise.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

37 Komentara

    Liverpool washafulia mpaka wanamtaka dembele kwa mkopo

    Jibu

    Kumekucha kumekucha ndani ya Manchester Utopolo, Sancho sio tena habari ya Mjini huku Erling Braut Håland anafurahia uwepo wa wake ndani ya Dortmund kwani unarahisisha zaidi kazi yake

    Jibu

    Liverpool mbona mnaanza kuzingua tena mnamtaka dembele kwa mkopo#Meridianbettz

    Jibu

    Nimefurai bale kuludi kwenye timu yake iliyo mpa eshima kuitumikia tena

    Jibu

    Nice information

    Jibu

    Bale hamamua maamuzi sahii ukiangalia pale Real Madrid akuna inshu tena

    Jibu

    kumbe wamefurahi Bale kuondoka

    Jibu

    Liverpool wanatakiwa kujipanga sana tu..

    Jibu

    Liverpool bado sana kufulia..wanamtaka huyo mchezaji ili kuongeza kanguvu kidogo

    Jibu

    Liverpool awatumii nguvu nyingi

    Jibu

    Man Utd wanatakiwa kuajiri kocha sio kusajiri wachezaji#meridianbettz

    Jibu

    Liverpool waongeze juhudi@meridianbettz@meridianbettz

    Jibu

    duh sio poa

    Jibu

    Bale Karibu nyumbani!!

    Jibu

    Taarifa nzuri

    Jibu

    Eeeh bwanae sio poa

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    United inabid wasajil sio walete maneno tu watu wataka ubingwa

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Livepool saiz hawana jipya#meridianbettz

    Jibu

    Axante kwa mambo moto ya michexo

    Jibu

    Sehem sahih kwa bale

    Jibu

    Nimependa habar ya Balle kulud Totenham

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Liverpool nguvu ya ziada inahitajika

    Jibu

    Thanks for new updates.

    Jibu

    united nao wanazidi kutuangusha sana sisi mashabiki wao

    Jibu

    united nao wanazidi kutuangusha sana sisi mashabiki wao

    Jibu

    Kumekucha kumekucha ndani ya Manchester United, Sancho sio tena habari ya Mjini huku Erling Braut Håland anafurahia uwepo wa wake ndani ya Dortmund kwani unarahisisha zaidi kazi yake

    Jibu

    zilikuwa poa sana hizi tetesi

    Jibu

    Sancho angejiunga na United ingekua safi

    Jibu

    Madrid walimchoka kweli Bale

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.