Toni: Andrea Pirlo ni Kama Guardiola

Mchezaji wa zamani wa Italia Luca Toni amedai kuwa mkufunzi mpya wa Juventus Andrea Pirlo alikuwa na bahati nzuri ya kusimamiwa na kati ya makocha bora zaidi. KWa mtazao wake anamuona Pirlo ni kama Pep Guardiola kuliko Antonio Conte.

Kiungo huyu wa zamani, alistaafu baada ya baada ya kutofanya vyema sana kule Hellas Verona mnamo 2016. Staa huyu wa zamani amecheza na Pirlo katika vilabu vyote na timu ya taifa.

Toni: Andrea Pirlo ni Kama Guardiola
Luca Toni na Andrea wamecheza pamoja katika vilabu vya Italia na timu ya taifa Itali8a.

Katika kulelezea mtazao wake juu ya majukumu mapya aliyouapata mwanatimu mwenzake wa zamani, alielezea kutokana na uzoefu na namna anavyomfahamu Andrea Pirlo.

Toni anaona kama Pirlo anaweza kufanana kwa mbinu na meneja wa Manchester City bwana Pep Guardiola kuliko kocha wa Inter Milan bwana Antonio Conte.

Akimzungumzia Andrea Pirlo “Kwa tabia, ni kama Pep,” Toni aliiambia Tuttosport.” na akisisitiza kuwa Antonio alimfurahisha kwa kipindi cha miaka mitatu alichokuwepo Juventus

“Lakini katika suala la usimamizi wa timu, alikuwa na bahati nzuri ya kuweza kufundishwa na makocha wawili bora: [Carlo] Ancelotti na [Max] Allegri.”

“Uzoefu wote utakuwa muhimu, lakini mwisho, atakuwa yeye mwenyewe. Atakuwa Pirlo na ataenda kwa namna yake pekee. Bila kujifanya au kuiga mtu yeyote.”


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma Zaidi

 

45 Komentara

    Maneno matupu hayavunji mfupa, tusubiri kuona vitendo uwanjani kama tutaona Pep mwingine wa SERIE A#meridianbettz

    Jibu

    Afanyee maajabu tuonee sasa

    Jibu

    Ngoja tuone matokeo

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Tusubir vitendo

    Jibu

    Wengi tunasubili kazi yake tuiyone maana gurdiola hadi saivi kashauthibitishia ulimwengu kwa mafanikio makubwa aliyo yapata akiwa mwalimu sasa kwa pirlo bado anasafari ndefu kwenye kazi yake ya ukocha.

    Jibu

    Mashabiki tumekaa mkao wa kula
    Kazi kwenu sasa@meridianbettz

    Jibu

    Pirlo kupewa juve ni kama yupo nyumbani nafikir kwa uzoefu alionao kwa wachezaji atamudu

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Pirlo inawezekana alikua mchezaji mzuri ila kwenye Ukocha akawa tofauti,ila kwa sababu mpira upo kwenye damu basi nina imani atawaongoza Juve vizuri endapo watampa fursa ya kuwasajili wachezaji anaowataka

    Jibu

    tunasubiria kuona matokeo

    Jibu

    Ngoja aje tuone itakuaje hapo juve.

    Jibu

    Kwa upande wangu namkubal sana pirlo maana ni kocha mzur sana maana Safar ya mpira Alikuwa kwenye kikosi cha Milan kilichoshinda mataji mawili ya Serie A, vikombe viwili vya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya na Kombe la Dunia la Klabu kati ya 2003 na 2011, na kisha akachangia sana ushindi wa Juventus wa ligi mara nne kati ya 2012 na 2015.
    Alihamia New York kabla ya kuanza kwa msimu wa MLS wa mwaka 2015 na kujiunga na kiungo wa kati wa zamani wa England Frank Lampard ana mshambuliaji wa zamani wa Uhispania David Villa katika klabu hiyo inayomilikiwa na Manchester City.
    Alisaidia klabu hiyo ambayo mkufunzi wake ni Patrick Vieira kufika mechi za muondoano kutafuta bingwa misimu miwili iliyopita, lakini hakuweza kushinda vikombe akiwa nao
    Hivyo anauzoefu mkubwa sana me naamin n kocha ambaye atafanya vzur sana

    Jibu

    Maoni:mhhh ngoja tuone

    Jibu

    Afanye maajabu tuone#meridianbettz

    Jibu

    Tunasubiri matokeo

    Jibu

    Afanye majabu tuone

    Jibu

    Tunasubiri maajabu

    Jibu

    Sisi mashabiki hatutaki maneno mengi tunataka vitendo

    Jibu

    Tunasubili kuona matokea

    Jibu

    Ni mapema mno kumsifia anahitaji muda

    Jibu

    Sawa yetu macho

    Jibu

    Acha tumpe Andrea Pirlo wakati tuone maajabu yake au ndo ataangukia pua na yeye

    Jibu

    Uwe kocha bora apo juventus

    Jibu

    Tunasubiri tuone mabadiriko

    Jibu

    Tunasubili tuone matokeo

    Jibu

    Mawazo yake ngoj tuone msimu ujao

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Kiungo fundi! Ongeza zake kuteuliwa kuwa kocha wa Juventus
    Natumaini atafanya vizuri#meridianbettz

    Jibu

    Yuko sahihi kabisah

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Tusubili matokeo

    Jibu

    Ngoja tuone yanayoajiri.

    Jibu

    Ni mapema mno kimfananisha na pep maana hata mechi moja bado

    Jibu

    Si yetu macho tu tunasubilia kuona vitendo tu

    Jibu

    Maneno mbali,vitendo vitendo mbali!!!

    Jibu

    Ni maoni yake lakini#Meridianbettz

    Jibu

    tunasubiri tuone

    Jibu

    Tunasubili matokeo#Meridianbettz

    Jibu

    Duh naona mnampamba

    Jibu

    Ni mtazamo wake ila hatuwezi kumlinganisha gurdiola na pirlo kwa sababu gurdiola hadi sasa ameuthibitishia ulimwengu kwa mafanikio makubwa aliyo yapata kwenye soka la miguu akiwa kama mwalimu lakini tukienda kwa upande wa pirlo ndo kwanza kinda katika career ya soka akiwa kama mwalimu anamda mwingi wa kujifunza na anasafari ndefu sana kuja kufikia mafanikio ya pep gurdiola.

    Jibu

    Pep yupo juu Sana huwezi mlinganisha na Pirlo

    Jibu

    Pirlo bado

    Jibu

    Hatuwez kutoa sifa au takwim mzr kwa sasa sabab kazi bado kuanza

    Jibu

    Bado Pirlo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.