Hispania wamewapa kichapo cha historia Ujerumani kujihakikishia nafasi katika fainali za Ligi ya Mataifa ya UEFA. Ferran Torres ametoa mchango mkubwa kwa kucheka na nyavu mara 3, huku Rodri na Mikel Oyarzabal nao wakikamilisha hesabu ya ushindi.
Ufaransa wamepata pigo kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa kipindi cha miaka 14 ya hivi karibuni baada ya kukubali kichapo cha bao 6-0.
Ujerumani walihitaji alama moja tu ili kujihakikishia nafasi ya juu kwenye Kundi A4 lakini walijikuta wakipigwa 3-0 kwa nusu saa tuu.
Hispania walionesha ubora wa chini ya Luis Enrique licha ya kutokuwa na Sergio Ramos na Sergio Canales kwa shida za misuli.
Torres, ambaye ni nyota wa Manchester City aliongeza bao mbili zaidi baada ya mapumziko kabla ya mbadala wake Oyarzabal kuongeza shinikizo kubwa pia.
Manuel Neuer, ambaye amekuwa golikipa aliyecheza mechi nyingi zaidi za kimataifa za Ujerumani wakati alipocheza mara yake ya 96, alijitahidi kwa nafasi yake kupambana na kasi ya Torres na timu ya Uhispania kwa ujumla.
Walakini, hakuweza kufanya chochote kumzuia Torres akiandika Hat-trick kuwabariki ushindi wao wa kihistoria
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Elika
Torres Yuko vizur sana
magdalena
mchezo mzuri wameucheza ujerumani pongezi kwao na waendelee kukaza buti safari bado ipo
Khadija
Waendelee tu kujitaidi wasikate tamaa
Devotha
Congrats
Fatina mfingi
Wakaze tyu buti watafika
Adelta
Mashabiki wanamkubali Torres Yuko vizuri
Ester jackson
Hongera yao
Sauda
Torres noma
Mwajumah
Wasikate tamaa waendelee tu kupambana
Angelina
Torres ametisha sana
Samira
Ametisha sana
Carolyn
Safi Sana Torres
Hopemwaikuka
Duh! Sio poa
Nasra
Safi
Sadick
Ni muda sasa kwa kocha wa Ujerumani Joachim Low kuachia ngazi ingawa naona bado shirikisho la mpira la Ujerumani bado lina imani naye
Fatuma kasomo
Safi sana
Devotha
Congrats
zeiyana
Hii gemu ilikua si ya haina yake
Antony Luseno
Kwa kichapo hiki Spain wamedhiririsha wapo vizur kuliko Germany
Povel
Torres alikuwah kwny ubora wa Hali ya juu sana
aisha
Big up kwao
Sabrina
Duuh Torres kifaa
felister
wasikate tamaa
Lydia Emmanuel Magoti
Torres sio mtu wamuchezo muchezo anajua jembe
Saupha mohamed
Torres nomaaa
Janeflora malisa
Safi sana
Issa
Spain on fire hatari
Tahiya
Noma sana