Uchambuzi, Vikosi na Odds: Norwich vs Brighton

Wachezaji watatu wa Brighton & Hove Albion Yves Bissouma, Adam Webster na Enock Mwepu wamerejea mazoezini baada ya kusumbuliwa na majeraha na wanaweza kuhusika katika mchezo wa leo dhidi ya Norwich.

Uchambuzi, Vikosi na Odds: Norwich vs Brighton

Daniel Welbeck na Steven Alzete wapo nje baada ya kufanyiwa upasuaji mmoja harmstring mwingine kifundo cha mguu.

Tariq Lamptey anawez kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League miezi kumi baada ya kupona jeraha la harmstring.

Brighton wanaweza kupata ushindi mfululizo huko Carrow Road kwa mara ya kwanza tangu mwaka Oktoba 1926 katika ligi daraja la tatu ya kusini.

Brighton wamepata jumla ya alama 14 katika mechi 7 za Premier League, wakati msimu uliyopita wakati walipata alama kama hizo kwenye mechi ya 19.

Kikosi cha Norwich Kinachoweza kuanza: Krul; Kabak, Hanley, Gibson; Aarons, Lees-Melou, Normann, McLean, Giannoulis; Pukki, Sargent

Kikosi cha Brighton Kinachoweza kuanza: Sanchez; Duffy, Dunk, Burn; Veltman, Gross, Lallana, Bissouma, Cucurella; Trossard, Maupay

ZIFUATE ODDS BAB KUBWA ZA UBASHIRI

Timu zote zifunge kipindi cha kwanza (IGG) odds ni 5.00

Timu zote zifunge kipindi cha pili (IIGG) odds ni 3.70

Timu zote zifunge na yapatikane magoli 0-2 (GG&0-2) Odds ni 6.60

Bashiri Hapa


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

 

 

Acha ujumbe