United Wampa De Gea Dili la £350,000 kwa Wiki

Klabu ya Manchester United imeripotiwa kuwa wamempa dili golikipa David De Gea kuongeza mkataba wake ili aweze kufikia dau £350,000 kwa wiki.

Nyota huyu wa kutoka Hispania amekuwa akiwavutia klabu za PSG na Real Madrid. Mazungumzo juu ya mkataba wake mpya yalianza mapema zaidi mwaka huu lakini yaligonga mwamba hadi msimu ulipoisha.

Baada ya Manchester United kufanikiwa kumshawishi Marcus Rashford kusaini mkataba wiki hii sasa wanahitaji kuwa na uhakika na kusalia kwa David De Gea.

Licha ya De Gea kuonekana kupoteana kwenye gemu zake za mwisho wa msimu uliopita, Ole Gunnar alisisitiza kuwa klabu ya MAnchester United bado inamuaminini na klabu inahitaji angalie hapo.

Hata hivyo, bado haipo wazi kama nyota huyu atasaini mkataba mpya klabuni hapo baada ya kupewa ofa ya dau la £350,000 au lah! Ole Gunnara anatarajia golikipa hyu aendelee kuwepo klabuni hapo.

Makala iliyopita

2 Komentara

    Habar njema

    Jibu

    Habari hii iko vizuri.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.