Vikosi Tarajiwa Jumatatu Mechidei 29

Mwanakabumbu machachari sana Erling Haaland hakuwepo wakati Borussia Dortmund wanamvaa Paderborn kutokana na majeraha ya goti.

Meridianbet inaangalia vikosi vinavyotarajiwa kuwepo siku ya leo Jumatatu bbaada ya mechi za jana na juzi kuwa zimemalizika…

Mechi zote zinaanza saa 10.30 jioni isipokuwa pale inapotajwa tofauti na hivyo.

Jumatatu, Juni 1

Cologne vs. RB Leipzig (mechi inaanza saa: 3.30 usiku)

Cologne: Horn – Ehizibue, Mere, Leistner, Schmitz – Skhiri, Hector (c) – Kainz, Uth, Jakobs – Cordoba
Nje: Bornauw (amezuiwa)
Anayehofiwa: Hauptmann (nyonga), Risse (goti)
Kocha: Markus Gisdol

Leipzig: Gulacsi – Mukiele, Klostermann, Upamecano, Angelino – Sabitzer (c), Laimer – Nkunku, Olmo, Werner – Schick
Nje: Ampadu (mgongo), Halstenberg (amezuiwa), Konate (hamstring), Poulsen (kifundo cha mguu)
Anayehofiwa: Kampl (nyonga)
Kocha: Julian Nagelsmann

Andaa mkeka wako kwa mechi hizi na zingine nyingi zaidi.

44 Komentara

    pole sana Erling

    Jibu

    Duu! Pole sn

    Jibu

    Daah! pole sana

    Jibu

    Leo kimenukaa

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Atakosa uhondo ila sio mbaya akipona atawasha moto balaaa

    Jibu

    Leo mwendo wa kubeti

    Jibu

    Dah! Sijui itakuwaje?

    Jibu

    Mungu amponye#meridianbettz

    Jibu

    Pole sana Erling haaland

    Jibu

    Atakaa sawa tu

    Jibu

    Tumwombe mwenyezi mungu
    Amponye ili arudi kwenye mchezo

    Jibu

    Kolon anashinda maana hajapata ushindi muda mrefu Sana Sasa Ndio nafasi yao saaa

    Jibu

    Pole sana mwanakabunbu Erling kwa kutoshiriki mtanange huo wa kukatwa na shoka.

    Jibu

    Lb lepiz leo ndani ya uwanja..laimer lazima atupie leo.japo goal mbili tuu

    Jibu

    Atapona tu na atarudi mchezoni kama zamani

    Jibu

    Ni wakat wa kuandaa mkeka no blue Monday tena

    Jibu

    pole mwenyezi mungu atakuafuu

    Jibu

    Sawa Meridian #Meridianbettz

    Jibu

    Cologne ana asilimia nyingi za kushinda

    Jibu

    Halaand get well soon🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    Jibu

    dah mambo mazur full 2+

    Jibu

    Daaaah polen sana.

    Jibu

    Vikosi hatar sana

    Jibu

    Duuh pole yake#meridianbettz

    Jibu

    Akikosi cha RB Lizping kinatisha sana ushindi lazima

    Jibu

    Daah pole Sana itakaa sawa tuu

    Jibu

    Duuuh pole

    Jibu

    Haaland hakuwepo wakati Borussia Dortmund wanamvaa Paderborn kutokana na majeraha ya goti#meridianbettz

    Jibu

    Apa ntapiga hela

    Jibu

    Huu ndo muda wa kupiga pesa.

    Jibu

    hii mechi nitaiwai kuicheki na kuibetia

    Jibu

    RB Leipzig Ina timu nzur
    Nategemee watapata leo ushindi#meridianbettz

    Jibu

    Mahela Kama yote

    Jibu

    Ni habar njema kwa wazee wa jamvi na wapenda burudani ya kabumbu thnks meridian kwa update

    Jibu

    Duh nomaa Sanaa

    Jibu

    Bado Dortmund wanakikosi kipana kwa ajili ya kuwapa matokeo

    Jibu

    Leo lazima kitaeleweka tu

    Jibu

    Mechi sio za kukosa

    Jibu

    Ni wakati wa kujipatia pesa nikibeti kwa meridianbet

    Jibu

    Rb Leipzig inatisha kwani inakikosi kizuri

    Jibu

    Mungu atawasaidia atapona

    Jibu

    Vikosi vimekaa vizuri

    Jibu

    Kaz kaz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.