Erik Ten Hag Avunja Ukimya Kuhusu Tetesi za Man Utd

Erik Ten Hag amekuwa akihusishwa na kuahamia kwenye klabu ya Manchester United kuchukua mikoba iliyoachwa na Ole Gunnar Solskjaer baada ya kufungashiwa vilago kutokana na kuwa na muendelezo mbaya, pia Erik Ten Hag amekubali kuwa yuko tayari kwa changamoto mpya nje ya Ajax

Man Utd walimfuta kazi Ole Gunnar Solskjaer mwezi uliosha na kocha wa Ajax Erik alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba hiyo ingawa Man Utd walimteuwa Ralf Rangnick kuwa kocha wa muda mpaka mwisho wa msimu.

“Nahisi niko tayari kwa hili, na nitakuwa na furaha kupata changamoto mpya, lakini siifukuzii, kama ikishindikana, siwezi sema kuwa kazi yangu ya ukocha ndio imefeli.” Erik Ten Hag alipoulizwa kuhusu uvumi wa yeye kuitaka Man Utd.

Erik Ten Hag amezaliwa mwaka 1970 pia alikuwa mchezaji wa Uholanzi na kwa sasa anaifundisha klabu ya Ajax ambayo ameiwezesha kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya Uholanzi na vile vile kuwafikisha hatua ya nusu fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2019.

Timu alizofundisha
2012–2013 Go Ahead Eagles
2013–2015 Bayern Munich II
2015–2017 Utrecht
2017– AFC Ajax

MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.