Beki wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Fc Bayern Munich Lucas Hernandez atakua nje ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuumia katika mchezo wa timu hiyo dhidi ya Australia.

Timu ya taifa ya Ufaransa ambao ndo mabingwa watetezi kwenye michuano ya kombe la dunia imeendlea kuandamwa na majeruhi kwenye kikosi chao na hiyo ni baada ya kuongezeka kwa majeruhi kwenye timu hiyo usiku wa jana.lucas hernandezBeki Lucas Hernandez alipata majeraha ya enka katika kipindi cha kwanza kwenye mchezo ambao Ufaransa ilipata ushindi wa mabao manne kwa moja na nafasi yake kuchukuliwa na mdogo wa beki huyo Theo Hernandez.

Beki huyo wa kushoto ataungana na Karim Benzema, Christopher Nkunku,Maignan na Kimpembe kama wachezaji ambao walikua wameitwa kwajili ya kuitumikia timu hiyo kwenye michuano ya kombe la dunia, Lakini wakishindwa kuwepo kwenye michuano hiyo kutokana na kukubwa na majeraha.lucas hernandezLucas Hernandez ambae alikua miongoni mwa nguzo muhimu kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa chini ya mwalimu Didier Deschamps anakosekana rasmi kwenye timu baada ya taarifa rasmi kutoka kmbi ya timu ya taifa ya Ufaransa.

Lucas Hernandez, Lucas Hernandez Nje Kombe la Dunia, Meridianbet

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa