Nyota wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo leo atakua dimbani kuiwakilisha timu yake ya taifa katika michuano ya kombe la dunia dhidi ya timu ya taifa ya Ghana katika mchrzo wa kwanza wa kundi H.

Nyota huyo ambaye anakwenda kushiriki michuano hiyo kwa mara tano sasa huku ikiwa ni wazi haya yatakua mashindano yake ya mwisho kwenye ngazi ya timu ya taifa, Hivo anahitaji kupambana ili kuweza kutimiza ndoto yake ya kubeba taji la kombe la dunia.RonaldoRonaldo ambaye tayari ameshatwaa mataji mawili na timu ya taifa ya Ureno ikiwemo lile la Euro 2016 huku deni kubwa ni kombe la dunia ambalo ndio safari ya matumaini inaanza leo dhidi ya Ghana ili kuangalia kama ataweza kutimiza ndoto zake.

Timu ya taifa ya Ureno ni miongoni mwa timu iliyobarikiwa kua na vipaji vya hali ya juu kwenye kikosi chake japokua haizungumzwi sana, Lakini ni timu ambayo imejumuisha wachezaji bora na nguli ambao wanakipiga katika timu tofauti tifauti barani ulaya tena kwa ubora mkubwa.RonaldoHuku Ronaldo na vijana wake wakiwa wanatazamia kuanza safari yao ya matumaini ili kubeba taji la dunia timu ya taifa ya Ghana ni miongoni mwa timu kutoka Afrika ambayo mara nyingi hua inajitahidi kufanya vizuri kwenye kombe la dunia. Hivo mchezo huo unatarajiwa kua wenye ushindani na ubora mkubwa.

machaguo spesho

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa