Chelsea Inashutumiwa Kuwadhulumu Arsenal Kifedha baada ya Kumteka Mykhailo Mudryk

Chelsea wameshutumiwa kwa ‘kuwadhulumu Arsenal kifedha’ baada ya kuwateka nyara The Gunners katika harakati za kumsajili winga wa Shakhtar Donetsk Mykhailo Mudryk kwa muda mrefu. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

chelsea

Klabu hiyo ya Ukraine ilithibitisha kuwa Chelsea imefikia makubaliano ya uhamisho wa mshambuliaji huyo kwenda Stamford Bridge, ikiwa ni pigo kubwa kwa mipango ya uhamisho ya The Gunners.

Inafahamika The Blues wamekubali dili la paundi milioni 90 kumsajili fowadi huyo wa Ukraine kutoka chini ya wapinzani wao wa London, baada ya kufanya jaribio la kuchelewa kuwaibia Arsenal walengwa wao wakuu. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

Naye mchambuzi wa talkSPORT Gabbuy Agbonlahor ameishutumu The Blues kwa ‘kuidhulumu’ Arsenal kwa kutumia kijitabu cha hundi kisichokuwa na kitu cha mmiliki wa Marekani Todd Boehly.

“Kwa uhamisho huu, Chelsea wamewanyanyasa Arsenal, wamewadhulumu kifedha,” alisema nahodha huyo wa zamani wa Aston Villa.

“Walienda na kuzungumza na wakala wake na pengine walimwambia, ‘Tutakupa [wakala] zaidi, tutampa mchezaji zaidi mshahara na tutaipa klabu pesa zaidi mbele’.

“Arsenal labda wangempa paundi 100,000 au 150,000 kwa wiki, na haitanishangaza kama Chelsea wangempa paundi 250,000 au 300,000 kwa wiki!”

“Chelsea inaweza tu kuja na pochi wazi na kusema, ‘Unataka nini?’

“Nadhani ni usajili mzuri, lakini utaiumiza Arsenal na itawaumiza mashabiki wa Arsenal.”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.