Joselu Atimkia Saudia
Makala iliyopita
Simba Yatua kwa Mwamnyeto, Kila Kitu Freshi
Makala ijayo
Ashley Young Aongeza Mkataba Everton
Mshambuliaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Al Gharafa kutoka nchini Saudia ambapo atadumu ndani ya timu hiyo mpaka mwaka 2026, Lakini kukiwa na kipengele cha kuongeza mkataba wa mwaka mmoja baada ya miaka hiyo miwili kumalizika.
Mshambuliaji Joselu Mato amekua mchezaji mwenye bahati sana kwani kwa mkopo wa mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Real Madrid akitokea Espanyol amefanikiwa kutwaa mataji yasiyopungua matatu akianza na Spanish Super Cup, kombe la La liga, pamoja na taji la ligi ya mabingwa ulaya.