Manchester United Yamuwinda Manuel Ugarte
Makala iliyopita
Ashley Young Aongeza Mkataba Everton
Makala ijayo
Juventus Yamtaka Calafiori
PSG wameweka wazi kua kiungo huyo wa zamani wa Sporting Lisbon ya Ureno atakua sokoni katika majira haya ya joto, Huku Manchester United wao wakielezwa wako tayari kutuma ofa kwajili ya kumpata kiungo huyo mwenye uwezo mkubwa katika eneo la uzuiaji.
Mpaka sasa ni klabu ya Manchester United ambayo imeonekana kuhitaji huduma ya Manuel Ugarte hii inaonesha kua kiungo Casemiro anaweza akatimka ndani ya klabu hiyo, Kwani Manuel Ugarte ni kiungo wa ulinzi nafasi ambayo Casemiro anaicheza ndani ya kikosi cha Man United.