Mkude Awatoa Hofu Mashabiki.

Kiungo wa Simba SC Jonas Mkude amethibitisha anaendelea na vizuri huku akisubiri vipimo kuhusu majeraha yake.

Ripoti ya mwisho inasema Mkude atakuwa nje kwa wiki mbili lakini kiungo huyo mkabaji anasubiri vipimo vingine ambayo vitatoa taswira ya yeye kurejea.

“Nitafanya vipimo vingine kufahamu kama naweza kurejea mazoezini na wenzangu hata kucheza mechi,” alisema Mkude.

“Vipimo vitaamua pia kama nitaendelea na mazoezi binafsi.”

Lakini pia amewaambia mashabiki wa klabu kuwa wasiwe na wasiwasi kukosekana kwake kwenye mechi za Simba katika mapambano ya kutetea Ligi Kuu Tanzania Bara na kutwaa Kombe la FA.

Simba itacheza dhidi ya Azam FC kwenye robo fainali ya Kombe la FA.

58 Komentara

    Simba isiwe na hofu juu ya mkude atalikava muda si mrefu

    Jibu

    Waoooo hii ni habari njema kwa wana simba

    Jibu

    Simba wanapitia kipindi kigumu kumkosa Jonas Mkude katika mechi hizi muhimu.

    Jibu

    Mkude kaka safi sana tulikua tunakuombea sana mchezaji wetu

    Jibu

    Mko vizuri simba

    Jibu

    Kiungo fundi! Jonas mkude hakuna kama wewe tanzania#meridianbettz

    Jibu

    Kiungo hatar

    Jibu

    kwa sasa hatuna matumiz nae aendelee na mapumziko

    Jibu

    Get well soon 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    Jibu

    Kiungo huyo mshambuliaje jonas mkude anaekipiga katika timu ya simba ni nomaa hivyo kama atakosekana katika mechi ya na azam itakuwa game ngumu kwa ubaadhi wa simba maana tunajua shughuri ya mkude simba

    Jibu

    Aache mbwembwe inabid atulie asikilize daktar jinsi atakavyomuambia maana afya n kitu Bora zaid maana kiungo Jonas mkude tunamtambua anacheza namba ngumu kuwe upaande wa utengenezaji inabid awe fiti sana ili kuwafurahisha mashabiki
    # meridianbet

    Jibu

    Maoni:Jonas mkude asiwe na wasiwasi atakaa sawa tu atarudi kukipiga muda sio mrefu.

    Jibu

    Bora alivyowatoa hofu maana simba bila mkude awajiamini kabisa

    Jibu

    Ujue kwa mashabiki wa simba mkude ni kipenz chao ndio maana taarifa za kuumwa na yuko nje wanachanganyikiwa sana

    Jibu

    Apone haraka

    Jibu

    Safi Sana jembe linarudi kazi itafanyika vizuri sasa

    Jibu

    Afadhar Jonas Mkunde umetutoa hofu sisi mashabiki wako

    Jibu

    Namuombea apone haraka aje aokoe jahazi

    Jibu

    Safi habar nzur kwa wanasimba

    Jibu

    Ugua pole

    Jibu

    Pona kwanza mkude maana afya ndo kitu muhimu kwa binadamu ukizingatia na kazi yako ukiwa fiti ndo unapoweza kucheza vizuri.

    Jibu

    Mungu amponye arudi ulingon..

    Jibu

    Namuombea aweze kupona haraka.

    Jibu

    Fundi wa mpira apone haraka tuone burudani

    Jibu

    Kiungo anae jiamina

    Jibu

    Safi sana mkude

    Jibu

    Mkude jembe hivyo tunamuimbea apone

    Jibu

    Tunakusubiri kwa hamu mkude jembe letu get well soon

    Jibu

    Habari nzuri hizi kwa mashabiki wa simba#meridianbett

    Jibu

    Tunashkuru kwa kutolewa ofu#Meridianbettz

    Jibu

    Mungu ataendelea kukupigania kiungo Bora mkabaji wanamsimbaz worry out

    Jibu

    Kwa sisi mashabiki wa simba hatuna ofu kabisa na mkude wakati ukifika atarejea tu

    Jibu

    Safii Sana Simba

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

    ndo mjue Simba timu mbovu ina maana Simba inamtegemea mkude peke yake timu nzima…?

    Jibu

    Tunakusubiri uwanjani

    Jibu

    Simba muko vizur sana

    Jibu

    Atakaa vizuri na atarejea kwenye hali yake

    Jibu

    Kiungo makini Jonas mkude..! Habari nzuri kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    Ni kiungo hatari

    Jibu

    Asante meridian kwa habari

    Jibu

    Rudi uwaunganishe pale kati.

    Jibu

    Asantee kwa taarifa

    Jibu

    Apone haraka aje aendelee kutupa Raha
    Uwanjani

    Jibu

    Aya ni furaha kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    Kiungo matata amabaye ajawaitokea eNzi izo #meridianbettz

    Jibu

    Asante Meridianbet kwa taarifa tunaomba mungu mkude atarejea kwenye hali yako

    Jibu

    Jonas mkude namkubar Sana jembe langu.njoo tuendelee kuwaliza watani zetu

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Mungu amponye haraka na majeraha mkude arejee uwanjani,mashabiki tumemmis sana aisee

    Jibu

    Maoni:kwa washabiki wa simba hilo pengo kubwa sana

    Jibu

    Mungu amponye haraka mkude arejee uwanjani mashabiki wa simba tumemmis sana mkude#meridianbettz

    Jibu

    Ni mmoja ya wachezaji waliodumu muda mrefu Simba. Mechi ya Simba na Yanga iliyopita alicheza ovyo kiasi cha kusababisha faulo iliyopelekea goli#meridianbettz

    Jibu

    Hongera sana mkude utareja mazoezini soon

    Jibu

    Mkude yuko vizuri

    Jibu

    Ahsante kwa makala

    Jibu

    Get well soon mkude

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.