Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu kama VPL, wameiandikia barua Bodi ya Ligi kuhusu kutokuridhishwa na mwenendo wa waamuzi kwenye mechi yao dhidi ya Young African FC.
Azam FC wamemtupia lawama mwamuzi wa Kati Heri Sasi pamoja na wasaidizi wake kuwa walishindwa kufanya maamuzi sahihi hivyo kushindwa kumudu mchezo.
Mechi Na: 300, Azam vs Young Africans, mwamuzi wa kati alikuwa Heri Sasi akisaidiwa na Soud Lila na Mbaraka Haule walionekana kukataa magoli mawili hali ya Azam ambayo kwa mujibu wa Line 1 na 2 waliona kama wachezaji wa Azam wameotea. Lakini pia walikataa penati halali ya Azam.

Mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya 0-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, na katika barua hiyi Azam wametaka waamuzi hao wachukuliwe hatua.


Tahiya
Ama kwa hakika refa halishindwa kumudu mchezo sijui ni kwa ukubwa wa mechi yenyew au ndio soka letu la bongo janja janja ni nyingi
Povel
Ni kwl sheria ifuate mkondo wake kwa malalamiko ya azam kwn ukitazama mchezo unagundua waamuzi wamechezesha chn ya kiwango thnks meridian kwa update
Issa
Waamuzii wengi katika ligi kuu hawana uelewa na taaluma yao hivyo uchangia katika utoaji wa maamuzi mabovu katika
Mechi nyingi
Amiri Kayera
Refaree hakua fear kabisa
Sabrina
Maoni:Haki yao kupeleka lawama waamuzi walichezesha mechi mpela mpela hawajazingatia sheria.
Hamidu
Marefa wabongo ni shida tu! Game jana azam wamenyimwa goli halali kabisa tazizo ligi tz inahalibiwa unazi wa simba na yanga.,unaweza kushangaa yule ni shabiki wa yanga#meridianbettz
Njiku
Ni kwl ukitazama mchezo wa jana waamuzi walishndwa kufuata sheria za mpr wa miguu na kushndwa kabisa kumudu mchezo huo kwa sual hlo tff inabid wachukueh hatua kwa waamuzi hao thnks meridian bet kwa update
Gabriel
Hawana sera wanalikuwa wanataka zari Kama la man u muamuz alichezesha vzur na haki kabisa maamuz waliyofanya club ya azam n ya kukurupuka zaid
Mwajuma
Waamuzi walikuwa wapenzi wayanga nin
isha
Duuh iyo noma sana😁😁😁😁
Omary lukumbi
Duuh hawa nao inawezekan lakin muamuz alishindwa kuweka mambo sawa kashindwa kubalance mchezo
Leonard
Waamuzi wetu kweli wanaboronga sana
David Pere
Waamuzi wa kitanzania wanazingua Sana wakati mwingine, Lakini sio kosa Lao tatizo hawalipwi vizurii
Theckla
Waamuzi wengi wa kibongo wanazinguaga sana
fatumakasomo
Inawezekana lakini maamuzi alishindwa kuweka mambo sawa
Hope mwaikuka
Dah
Ester mmakasa
Lakini si ndo mpira sasa kwann wafikie kote uko jamani?
Neema hassan
Lazima Sheria ichukuliwe dhidi yao
Aziza mushi
Marefa wa bongo hamna kitu kabisa.
Isaya massawe
Bongo ndo tunapofeli mwamuzi analeta ushabiki kwenye mchezo au muda mwingine unawezakuta kapewa mshiko
#meridianbettz
mwakalosi
yaani shamba la bwana heri mbuzi wa bwana heri na kesi unampelekea bwana heri tff ni jipu tena jipu la tambaza linalorudisha maendeleo nyuma ya mpira bongo
Saupha mohamed
Kiukweli refa hakufanya sahihi…ndo Moira wa bongo mizinguo
Frank Patrick
Bongo bado sana
Neema juma
Refa unakwama wapiiii tuambizane
Mwanaidi
Mech ilikuwa kubwa refa kashindwa kumudu mchezo
Samiah
Viongozi wanazingua
farida ahmadi
Waamuzi wa kibongo Bado Sana mechi ilikuwa kubwa tyuu refa ameshindwa kuamua hivyo lazima TFF wapewe barua
Johnmary joel
Wawahite waulizwe kwann limetokea hili hili wajirekebishe ila Azam ni washind wapili#meridianbett
warda
Kwa maelezo hayo basi waamuzi walikuwa wanaipendelea yanga#Meridianbettz
Latifa juma mohamed
Inavyoonyesha waamuz ni wengi , na pia wanashindwa kutambua taaluma yao, labda wanatumia experience tu ktk kutoa final hwan ujuz na nafas hiyo, hivyo bac wanajikuta wanafeli ktk kutoa maamuz
Magdalena
Kweli waamuzi hawakuitendea haki timu ya azam
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Azam wakomalien hao wahamuzi wamuz wakibongo nishida sana
felister
siwezi sema chochote sababu iyo mechi sikubahatika kuingalia
Genia Sikaluzwe
Hatari Sana
Caroline
Wanapendeleaaaa
Mariam mtandama
Duuuh
Zeiyana
Tff waangalie hikiwezekana waamuzi wachukuliwe hatua
Dorophina
Mbona muamuzi alikuwa sahihi azam wanataka kitonga
Evaluziga
Mwamuzi alikuwa sahihi sema chili binafs
Theonestina
Inaonekana waamuzi wamewabeba watani zangu
Rehema
Duuh! Hii ni hatari
Antony Luseno
Katika game hii Yanga wamebebwa dhahiri
Ester jackson
Huo ndio Mpira wabongo kuingia uwanjani na matokeo na marefa kuwa na timu na mashabiki kuwa marefa kawaida tu
Furahav
Daah wafungiwe tu.
nasra
No Sana
Adelta
Hii Ni hatari
Cha muhimu waache kupendelea
Salma
Duh!
Amani
Ligi ya Tanzania Ina makando makando mengi akuna haki kabisa#meridianbettz
Shafii
Acheni malalamiko pigeni kabumbu
Saupha mohamed
Duu atalii
Mwanahamisi
Duuh
Elika
Kiukweli ile mechi haikuwa na sahihi mwamuzi kufanya vile..au alipewa rushwa..mashabiki tujue tuu
Khadija
Daaah waangalie ikiwezekana wamchukulie hatua#meridianbettz
Devotha
Achukuliwe hatua refarii maana atazoea anatakiwa afate sheria ya mpira na usiangalie jina la timu
Sadick
Azam ilinyimwa ushindi kwa makosa ya marefa, ingawa TFF imekuwa ikitoa adhabu mara kwa mara kwa waamuzi lakini bado hakuna matokeo chanya#meridianbettz
Ernest
Waamuzi wa mechi kati ya Yanga na Azam walitakiwa kupewa adhabu kwa kuonyesha mapungufu ya hali ya juu.
Samira
Duuuh hii hatari
Angelina
Waamuzi wetu sio waaminifu hili ni lakukemea
Emmy cleopa
Duuuh! Hatari ila wamependelea
Asia Abdy
Sio fair