Kiungo wa klabu ya Arsenal Matteo Guendouzi hatakabiliwa na hatua yoyote baada ya tukio lililomshirikisha yeye na mchezaji wa Brighton, Neal Maupay kwenye mchezo wa PL kati ya timu zao huku The Gunners ikipoteza Siku ya Jumamosi.

Tukio hilo lilitokea baada ya filimbi ya mwisho Jumamosi, ndipo Guendouzi alipoonekana kumpiga kabali ya shingo Maupay. Maupay alifunga bao dakika za mwisho wakifanya comeback na kupata ushindi wa 2-1 ukiwa ndio ushindi wao wa kwanza wa mwaka 2020.
Hapo awali kwenye mchezo huo, mfungaji huyo wa goli la ushindi kwa Brighton alimchezea faulo kipa wa Arsenal Bernd Leno wakati wa kuwania mpira angani, na kipa huyo wa Ujerumani alitolewa ya kucheza dakika 36 tu kwa maumivu yaliyoonekana kuwa ni jeraha la goti baya.
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal Bernd 28 Leno anaweza kubaki nnje kwa zaidi ya miezi 12 “Jeraha lake limehusisha tatizo la Goti la mguu wake wa kushotona Linaweza kudumu kwa miezi 12” hayo yalisemwa daktari wa klabu hiyo.


Caroline
Kwa iyo hana kosa au.?
Genia Sikaluzwe
Ahsant meridian kwa taarifa
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Duu kwaiyo atazibiwa au raha
Latifa juma mohamed
Apewe adhabu inayolingan na kosa alilotend isizid uwezo
Zeiyana
Pole sana maupay ajali kazni..! Mungu hatakusaidia utarudi kwenye ali yako
felister
ata sijaelewa apo kwaiyo hatoadhibiwa kwanini wakati amemkaba mwenzake
Dorophina
Huo ni mchezo moupay ajari kazin hiyo
Evaluziga
Hapo kidogo sijaelewa
Theonestina
Uyo lazima aazibiwe.kwanini alimkaba mwenzake.khaa
Hope mwaikuka
Kaz kweli kweli
Magdalena
Wasameane tu ajal kazi ni
Antony Luseno
Arsenal kupoteza mchezo huu ilikuwa ni uzembe sana kwao
Njiku
Gundouzi alikasilika kwa kitendo alichofanya mauphy kumchezea faulo kipa wa arsenal na kutoka nje kwa machela iko wazi ndio maana game ilivyoisha ikabidi amfuate na kumshika shingoni kama kumkaba niasira za mchizi ila kitendo alichafanya gundouz sio kizuri licha ya maupay kucheza lafu mbaya
warda
Duuu Majeraha haya ishakuwa balaa!#Meridianbettz
Leticia
Wasameane tu
Mwanaidi
Aadhibiwe tuu
Issa
Aadhibiwe tu ili iwe fundisho kwa wachezaji wengine
isha
Anasitahili adhabu uyo
David Pere
Ni Jambo zuri kumsameje maana hasira ilimzidi sana
Povel
Duh ni habar mbaya kwake na mashabiki wake Kama adhabu itamkutah thnks meridian bet kwa update
Samiah
Anastahili adhabu
Gabriel
Ni habar ya kusikitisha sana kwa wapenz wa arsenal kwa pande zote mbili Kwanza kumkosa leno golikipa ambaye anaweza kukaa nje kwa mwaka mzima hivyo n pengo kubwa sana mashabiki wa arsenal pia na kuangalia adhabu ya Matteo guendouzi si ya haki kabisa astahili kupewa adhabu yoyote
# meridianBetTZ
Furahav
Apewe haki yake,mana mpira ni mchezo wa amani.
nasra
Apewe adhabu kdg
Omary lukumbi
Matteo guendouzi alifanya kosa hata kama ni hasira ilibidi apate adhabu yoyote ile juu ya kitendo alicho fanya kwa mchezaj mwenzie mwamuz alikuwepo na ndio anae angalia matatizo yote hayo uwanjan kusema kweli alifanya kwa hasira sabab ya kufanyiwa dhambi kipa wao ila si jambo jema kumbana mtu
Neema juma
Pole kwake hiyo ni kama ajali tu
Adelta
Anastahili kusamehewa
Salma
Anastahili adhabu sheria ifatwe
Ester mmakasa
Katika mchezo mambo kama hayo huwa yanatokea ni kama bahati mbaya.
Ester jackson
Ni habari mbaya sana kwa mashabiki Ila Neal alifanya kosala kumchezea fauli na pia aliye Fanya kosa zaidi la kukusudia ni Matteo mana yeye kwa sabubu ya maumivu aliuyo chezewa rafu nakwenda kumkaba mwezake ni kosa ila kwa sababu kabati ya nidhamu imesema hataadhibiwa kwa kosa la kumkaba Neal basi tunatakiwa kuangalia mambo mengine
Neema hassan
Apewe adhabu Kali iwe fundisho kwa wengine..
Sabrina
Maoni:Anastahili adhabu akumfanyia vizur mwenzie
Amani
Matteo guendouzi alifanya kosa hata kama ni hasira ilibidi apate adhabu yoyote ile juu ya kitendo alicho fanya kwa mchezaj mwenzie mwamuz alikuwepo na ndio anae angalia matatizo yote uwanjani# meridianbettz
Amiri Kayera
Dah alicheza faulo mbaya sana
Shafii
Arsenal Hali mbaya kwao
Edgar
atajilekebisha wampe mdaa
Hamidu
Asante kwa taarifa# meridianbettz
Theckla
Matteo guendouzi alifanya kosa hata kama ni hasira hakupaswa kutoa hukumu# meridianbe
Mwajuma
Adhibiwe ili iwefundisho kwa wengine
fatumakasom
Anastahili adhabu
mwakalosi
arsenal wana matatizo nayeye anataka kuleta tatizo kama pacha luiz😂😂😂😂
Rehema
Apewe adhabu
Saupha Mohammedans
Apewe adhabu tuu ili isijiludie kwa wanjlgine
Leonard
Ni vizuri kupewa adhabu ili iwe funzo
Mwanahamisi
Anastahili kusamehewa
Elika
Arsenal hawana jipya hao..wameshindwa cha kufanya wanaanza kukosoa wenye makosa sasa
Khadija
Katika mchezo mambo kama hayo yanatokea ni bahati mbaya#meridianbettz
Devotha
“Hata adhibiwa kwa kosa la kumkaba” inamaana hajafanya kosa yupo sawa kisababisha majeraha kwa Leno
Sadick
Matteo hana kawaida ya ugomvi zilikuwa hasira za kufungwa#meridianbettz
Ernest
Guendouzi hakuwa muungwana hasa kama mchezaji
Agness
Asante kwa taarifa meridian
Samira
Ingawa amemkosea kweli mwenzie ila haya mambo hua yanatokea kwenye michezo
Angelina
Hii haiko sawa aadhibiwe tu
Emmy cleopa
Apewe adhabu
Asia Abdy
Anastahil adhabu
farida ahmadi
Guendouz lazima apewe adhabu na sheria ifate mkondo wake