Nyota wa Juventus, Gonzalo Higuain anafikiria kuhamia MLS kuungana na ndugu yake.
Ripoti kutoka Italia zianataja kuwa Gonzalo Higuain anatarajia kuhama Juventus kwenda DC United, ambako ataweza kuungana na ndugu yake.
Kwa mujibu wa ukurasa wa mbele kabisa wa Tuttosport, mshambuliaji huyu wa Argentina anajiandaa kuondoka Juventus mwisho wa msimu.
Klabu ya Juventus na Meneja Maurizo Sarri wanaonekana kama wamekata tamaa na nyota huyu ambaye pia anadaiwa alitishiwa kuwa mkataba wake ungesitishwa. Ripoti zinasema Higuain hakuwa tayari kurejea klabuni mapema kipindi hiki, na alirejea klabuni hapo baada ya kutishiwa kusitishiwa mkataba

Licha ya mkataba wake kusalia na mwaka mmoja zaidi, klabu ya Juventus inatarajia kumpunguza staa huyu sokoni msimu huu wa joto.
Higuain amecheza mechi 16 tu za ligi msimu huu na kupata magoli 5, kabla ya msimu kuingiliwa na janga la corona.
Ripoti kutoka Washington, zinataja kuwa nyota huyu ameshafanya mazungumzo ya awali na DC United wanaoshiriki MLS ambako yupo kaka yake mkubwa mwenye umri wa miaka 35, Federico.


Evaluziga
Mwacheni aendelee wasimpunguze
Theonestina
Wamuache aende anakotaka
Rehema
Itakuwa vizuri aende anapotaka
Magdalena
Kila la kheri kwake
Antony Luseno
Gonzalo mchango aliotoa kwa timu mbali mbali unatosha ni muda wake wa kustaafu soka
Njiku
Higuain ni mchezaji mzuri sana na mchango wa soka kwa timu alizochezea zinaonekana jamaa analijua goli na anajituma akiwa kwa kiwanja na mchezaji mkongwe pia ila sio mbaya kama atatoka juventus na kukipiga huko marekani itakuwa poa sana kwa sababu atajiakikishia namba akiwa huko u.s.a kuliko pale juventus
warda
Acha aende tu Mambo yesha kuwa Meusi#Meridianbettz
Leticia
Wamuache aende
Mwanaidi
Anatakiwa aache tamaa abakie tu juventus sababu bado wanamuhitaji na pia ni timu nzuri sana juve
Issa
Aaende tu kwani naona makali yamepungua so kama nyuma
Caroline
Asante meridian Kwa taarifa
isha
Aende tuu maana kutishiwa tishiwa sio jambo zuri
David Pere
Ni Jambo la msingi kwenda kumaliza soka lake buko MLS
Lydia Emmanuel Magoti
Wamuache haende Mambo yasha kuwa mabaya kila raheli
Latifa juma mohamed
Chaguo lake aend tu
Povel
Kila la kheri popote kambi thnks meridian bet kwa update
Genia Sikaluzwe
Kila kheri maisha popote
Zeiyana
Popote kambi nenda kamarizie career yako huko
Dorophina
Ni haki yake kuchagua wap anataka kwenda
Neema juma
Aende tu alipopachagua sio mbaya
felister
Bora akamalizie soka lake uko MLS
Gabriel
N Jambo zur kwake kwan atajihic furaha kucheza pamoja maana tumeshawai kuona wanandugu wakicheza kwa pamoja na kuonyesha uwezo wao mzur sana kama ukikumbuka club ya man u Kuna watu Kama garl Neville na ndugu Phil nevil walikuwa n ndugu sana walikuwa wanacheza vzur sana hivyo kwa higuain kuondoka Juventus na kwenda MLS kutamfanya acheze kwa kiwango kikubwa
# meridianBetTZ
Samiah
Aendetu
Omary lukumbi
Bora aende DC United akaangalie changamoto mpya na ni jambo zur akicheza timu moja na ndugu yake kwa mchango aliotoa pale Juventus una tosha pia umri nao ushamtupa mkono bora akapumzike na mikiki mikiki
Furahav
Kiwango chake kimeshuka aende tu.
nasra
Aende tu
Adelta
Ni vizuri wamwache aende anapotaka
Salma
Chaguo ni lake
Ester mmakasa
Ni maamuzi yaliyo bora kwake .
Ester jackson
sio mbaya kama atatoka juventus na kukipiga huko marekani itakuwa poa sana kwa sababu atajiakikishia namba akiwa huko u.s.a kuliko pale juventus
Neema hassan
Mashabiki tunasubir kwa hamu
Sabrina
Maoni:Nimapenzi yake kuamia anapopataka hiyi ndio furaha yake kuamia DC United ambapo atakutana na ndugu yake kusakata kabumbu pamoja
Hope mwaikuka
Maamuz ni yake
Amani
higuain kuondoka Juventus na kwenda MLS kutamfanya acheze kwa kiwango kikubwa
# meridianBetTZ
Amiri Kayera
Umli ushaanza kumtupa so ata kiwango chake kimeshuka San Acha afat changamoto mpya
Shafii
Gud newz
Edgar
safi na pongezi kwake kwa kuitumikia vema juventus
Hamidu
Higuin nenda katafute mchangamoto nyingine ! Huko USA kwa kupiga pesa
Mwajuma
Aende anapotaka kwenda ili moyo wake uwenaamani
Theckla
Acha akabadilishe upepo
fatumakasom
Aache tamaa abaki tu juventuc sababu bado wanamuhitaji
Aziza mushi
Wa muachee aendee tu.
mwakalosi
umri umekwenda ni muda sahihi kwake
Leonard
Juve timu kubwa
Mwanahamisi
Wamuache aende tuu
Elika
Kizuri kila na nduguyo bora aende huko huko alipo kaka yake tu wakafanye kazi
Khadija
Kiwango chake kimeshuka aende tuu#meridianbettz
Devotha
Asante kwa muda ulioitumikia juventus tunakutakia kila lenye kheri uko uwendako
Sadick
Wachezaji wanapochoka mikikimikiki ya ligi za Ulaya hukimbilia Marekani. Kwangu bado Higuain anaweza kucheza Soka la Ushindani#meridianbettz
Ernest
Umri umemtupa mkono Higuain lakini Juventus watamkumbuka kwa mchango wake mkubwa akiwa na Juventus
Samira
Juve itamkumbuka kwa mchango wake mkubwa
Angelina
Aende tu
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Asia Abdy
Aende tuu