Pellegrini Manuel, aliyewahi kuwa kocha wa Real Madrid, Manchester City, na West ham ameteuliwa rasmi Leo kuwa kukinoa kikosi cha Real Betis nchini Uhispania.
Pellegrini aliyewahi kuwa kocha wa Manchester City atachukua mikoba kuwa kocha mkuu msimu ujao kutoka kwa Rubi ambaye amefukuzwa wiki iliyopita.
Mchile huyo mwenye miaka 66, amekuwa bila timu toka alivoacha kuinoa West Ham ya nchi Uingereza Mwezi wa kumi na mbili mwaka jana. Amesaini mkataba wa miaka 3 kuwepo dimbani Benito Villamarin
Kutoka kwenye ukurasa wa Klabu hiyo wameandika “Real Betis wamemsajili Kocha Mchile Manuel Pellegrini kuongoza timu kuanziamsimu ujao.

“Real Beatis wamechagua Kocha wa Kiwango kikubwa na mwenye heshima kubwa katika soka, kuweza kuinoa timu katika kipindi cha miaka 3.”
Pellegrini ameshinda Ligi kuu ya Uingereza 2014 akiwa na Manchester city,na vikombe vya Ligi (FA) mara 2. Pia amewahi kuifundisha Real Madrid na kuisha nafasi ya pili katika Ligi.
Vile vile amewahi kuvifundisha vilabu kama Villarreal na Malaga na kuviwezesha kucheza Ligi ya Mabigwa Barani Ulaya.
Betis inashika nafasi ya 13 katika Ligi kuu nchi Hispania, kocha wa muda Alex Trujillo ambaye aliiongoza timu hiyo kupata ushindi wa 3-0 mbele ya Osasuna ataendelea kukinoa kikosi hicho mpaka mwisho wa msimu.
Jiunge Kasino za Mitandoni ufurahie Jackpoti Inayoendelea


Furahav
Hongera
warda
Hongera yake duuu!Mana amekaa Mda sana#Meridianbettz
Sadick
Betis imelamba dume. Pellegrini Manuel ni Kocha mzuri ,kwa bahati mbaya miaka ya karibuni timu anazopewa anaishia kufukuzwa#meridianbettz
Gabriel
Ni kocha mzur sana 👍
Njiku
Pellegrini ni kocha mzuri sana na naamini atafanya vizuri sana akiwa na betis
Franky
Natumai hata Fanya vizuri kwenye club hiyo ya Real Betis
Amiri Kayera
Kalib team mpya
Edgar
Yupo vzr sana
Hamidu
Kocha mzuri natumaini atafanya vizuri#meridianbettz
Zuhura omary kindamba
Pellegrini ni kocha mzuri sana hongera sana betis kwa kupata kocha uyo
Povel tz
Kila la kheri katika majukum mapya ya kazi
Leticia
Karibu team mpya
Omary lukumbi
Manuel pellegrini n kocha mzr na mwenye rekodi zake pale akiwa man city uengereza ameipa ubingwa man city kwa real betis wamekula bingo kwa mtaalam hyu
Theckla
Real Beatis wamechagua Kocha wa Kiwango kikubwa sana
Theonestina
Hongera yake
neema hassan
Kocha mahiri sana
Salma
Hongera
Isaya massawe
Kocha mzuri sana huyu
David Pere
Baada ya kukaa nje ya hispania kwa miaka kazaa Sasa amerudi kuwapa upinzani makocha wengine
Revina
Kikubwa wawe makini wamepata kocha makini na mjuzi ambae anaelewa kile anachofanya
Amani
Pellegrini Manuel ni Kocha mzuri ,kwa bahati mbaya miaka ya karibuni timu anazopewa anaishia kufukuzwa#meridianbettz
Leonard
Safi
Fatuma kasomo
Nikocha mzuri sana
Mwanahamisi
Hongera yake
Genia Sikaluzwe
Nikocha mwenye ubora wake
Dorophina
Real betis wamepata kocha wa kiwango fulani atawasaidia kuiongoza timu
farida ahmadi
Hongera Sana pellegrin kwa kuchaguliwa na timu ya real betis kwani timu nzuri kikubwa ushirikiano baina yako na wachezaji
Ester jackson
Kocha nzuri sana anaweza kufanya mabadiliko hapo
Tatu
Kocha mzuri sana karibu kocha
Zeiyana
Real beats wamechagua kocha wa kiwango kikubwa na mwenye heshima kubwa katika soka tunategemea matokeo mazuri kutoka kwake pellegrin hana historia kubwa pale man city kila la kheri
Khadija
Kocha mzuri sana#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Nikocha mzuri sana
felister
Betis wamechagua kocha mwenye kiwango kikubwa na heshima kubwa
Samiah
Huyo kocha mzuri sanaa
Neema juma
Hongera kwake
Magdalena
Betis mmepata mocha mashughuli msimvunje moyo
Mariam mtandama
Hongera
Latifa juma mohamed
Nice one,kocha mahiri sana
lombo
nice
Rehema
Hongera yake
Caroline
Karibu Uhispania
Shafii
Ni kocha bora naamini atawafikiSha mbali betis.
mwajuma
Kocha mzuri sana#Meridianbettz
Sabrina
Maoni:Nakubali ni kocha mzuri hana kazi mbovu
Ernest
Ni deal zuri kwa Pellegrini
Saupha mohamed
Namkubali sana uyu kochaa
Nasra
Atafanya maajabu kweli
devotha
ni kocha mzuri naamini real betis watafanya vizuri kupitia yeye
Hope mwaikuka
All ze best coach
Flomena
Vile vile amewahi kuvifundisha vilabu kama Villarreal na Malaga na kuviwezesha kucheza Ligi ya Mabigwa Barani Ulaya.
Povel tz
Gud news