Msifananishe Lampard na mimi dhidi ya Guardiola na Klopp
Meneja wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa yeye na mwenzake wa Chelsea, Frank Lampard bado wana safari ndefu kufikia viwango vya Jurgen Klopp wa Liverpool and Pep Guardiola wa Manchester City.
Anasema kuwa kutokana na kazi yao, ni mapema sana kufananisha kazi yao na kazi ya mameneja wenzao wa Liverpool na Man City. Hii ni kutokana na mtzamo kuwa yeye na Lampard wanaweza kuwa Pep Guardiola na Jurgen Klopp wajao.
Kwa Arteta, hii ni mapema mno kuwafananisha namna hii. Arteta na Lampard wanakutana uso kwa uso kwenye Fainali ya Kombe la FA, pale Wembley wakati wakijaribu kuchukua taji lao la kwanza katika mwaka wao wa kwanza wa ukocha.
Arsenal wamemaliza msimu wa Ligi Kuu wakiwa katika nafasi ya 8, lakini walionekana kujiboresha zaidi hasa katika mechi dhidi ya Manchester City kwenye Nusu Fainali ya FA. Wakati Lampard aliwasaidia Chelsea kumaliza katika 4 bora.
Ushindi wa FA Cup kwa yeyote kati yao itakuwa ni hatua muhimu katika safari yao kama mameneja.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Issa
Arteta ni noma
Devotha
Arteta tunasubiri uvunje record ya ubingwa kwenye EPL ndo tukufananishe sasa
Genia Sikaluzwe
Arteta ni hatari
felister
tunachosubiria kuona ni vitendo na si maneno thibitisha kauli yako leo mchezoni
Gabriel
Hapa me nangojea matokeo Arteta afanye kwel siku ya kesho
Zuhura omary kindamba
Arteta ni noma
Angelina
Arteta mtu makin
David Pere
Arteta bado anasafari ndefu Sana ya kufanya vizuri katika kufundisha mpira maana Kama anataka kupata mafanikio inabidi apambane kweli
Theckla
arteta ni kocha mzuri binafsi naunga mkono maneno yako yupo sahihi sana
Omary lukumbi
Anachosema arteta ni kweli kabisa wala hajakosea
Mwajumah
Arteta ni noma#Meridianbettz
Dorophina
Tunasubilia matokeo tu maneno yasiwe mengi
Adelta
Arteta tunasubiri uvunje rekodi ya
Ubigwa#meridianbettz
Mwanahamisi
Arteta ni noma
Magdalena
Matokeo ndo kitu muhmu kuliko maneno
Sadick
Mechi ya leo ni muhimu mno kwao kama managers na timu wanazowakilisha. Hamu ya wapenda soka kuona mbinu sahihi za ushindi na burudani#meridianbettz
Khadija
Arteta tunasubili tuone kwa hamu hatutaki maneno#meridianbettz
Fatina mfingi
Mpira dakika 90 tunazisubir tuone nani noma maneno yasiwe mengi
Caroline
Ha ha ha ha Arteta ndo kashasema
Rehema
Arteta noma
Ernest
Nimefurahi kuona Arteta akiheshimu Ubora wa Klopp na Pep kwenye swala la mafanikio na ubora
Tatu
Nyie pambaneni na hali zenu msije mkajifanani klopp manakiwa mkaze buti ndio mfikie kiwango cha klopp
Shafii
Arteta yuko sahihi kwa mtazamo wake kwani wao ni makocha makinda kabisa na wanasafari ndefu yakuja kuwathibitishia ulimwengu kua ni makocha wakubwa sasa.
Zeiyana
Kwa nafasi waliyo kua nayo arsenal kwa sasa arteta hana staili kufananishwa na kocha wa Liverpool clopp kwani hinaonesha mbinu zake zote ni kufikia levo hiyo
jullie
Lampard yuko vizuri
Povel
Arteta Hana hitaj muda kufananishwa na wakal Kama hao
Rose kapinga
Arteta maneno hayo yamesimama!!!
aisha
Lampard yuko vizuri sana
Hope mwaikuka
Na kwann ufananishwe
Furahav
Lampard yuko vizuri sana.
Amiri Kayera
Yupo unique
Fatuma kasomo
Habari njema
Flomena
Arsenal wamemaliza msimu wa Ligi Kuu wakiwa katika nafasi ya 8, lakini walionekana kujiboresha zaidi hasa katika mechi dhidi ya Manchester City kwenye Nusu Fainali ya FA. Wakati Lampard aliwasaidia Chelsea kumaliza katika 4 bora.
Ester jackson
Kocha wa asernal atamba sasa ivi
Sabrina
aterta mtu mbaya
warda
Yupo sahihi kabisa