Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City, James Maddison amekubali mkataba mpya wa miaka minne, ukimbakiza kwenye Klabu hiyo hadi 2024. inaeleweka kuwa mkataba huo ni wa zaidi ya Pauni 110,000 kwa wiki na unatarajiwa kuthibitishwa katika siku zijazo.
Habari hizo zitakua njema zaidi kwa meneja wa The Foxes, Brendan Rodgers baada ya klabu hiyo kushindwa kupata nafasi ya kushiriki katika Ligi ya Mabingwa msimu ujao kufuatia kupoteza mechi dhidi ya Manchester United siku ya mwisho ya msimu – Hiyo iliibuka uvumi kuwa wachezaji wake nyota mbioni kutimka akiwemo Maddison.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 alikosa michezo ya mwisho ya msimu baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa nyonga. Msimu huu Kafunga magoli sita na assists tatu ndani ya Premier League Akicheza mara 31.
Kwasasa, Leicester ina shaka juu ya hatma ya beki wao Ben Chilwell, ambaye ni kama Maddison, alikosa mwisho wa msimu, na jeraha la kisigino – Chilwell, mwenye umri wa miaka 23 ni zao la Leicester na ana mkataba unaomalizika 2024, lakini amehusishwa sana na kujiunga na Chelsea.
Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.


Ernest
Maddison alianza msimu viziri sana adi kuifanya Leicester kuonekana timu ya kuogopwa katika ligi ya Uingereza lakini majeraha yalimnyima nafasi ya kuendelea kufanya makubwa zaidi katika klabu yake ya Leicester City.
Hope mwaikuka
Vzur
Shafii
Habari njema kwa wana Leicester city.
Salma ngende
Ni habari nzuri
Sabrina
Hongera James Maddison kwa kuendelea kusalia katika timu yake
Sadick
Maddison amekuwa muhimili wa mafanikio ya Leicester ingeshangaza kama hangeongezewa mkataba mpya#meridianbettz
Issa
Madson amekuwa mhimili mkubwa leister
Genia Sikaluzwe
Habari njema Sana hizi kwa mashabiki wa Leicester
Gabriel
Habar njema
Devotha
Hongera sana Maddison
Zuhura omary kindamba
Habali njema kwetu
Theckla
Kihalisi maddison ni mchezaji mzuri Sana sema majeraha huwa yanamwandama sana
David Pere
Hapo Sasa zile timu ambazo zilikuwa zinamwiyaji ikiwemo man u washa kwamaa sasa
Omary lukumbi
Safi sana kwa maddison kuendelea kubak Leicester city
Dorophina
Leicester wameona umuhimu wa kumbakiza maddison sema tu majeraha yanamsumbua
Mwajumah
Habari njema
Adelta
Habari njema 👍
Magdalena
Good news
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa meridianbet
Tatu
Good news
Povel
Habar njema kila la kheri
Rose kapinga
Wazo zuri!!
felister
safi maddison pongezi zikufikie
aisha
Habari njema
Zeiyana
Ukiwataja wachezaji walio fanya vizuri kwenye clabu ya Leicester Madison akosi kwa majeraha alaiyokua nayo saivi sizani kama atakua na kiwango kile cha mala ya kwanza
Furahav
Uko vizuri madisoni.
Amiri Kayera
Safii
Asia Abdy
Nice
Saupha mohamed
Good news
warda
Wanamkubali sana huyu asingeweza kuondoka