Lewandowski : Jurgen Klopp Ana Sura Mbili.

Robert Lewandowski amesema kwamba Jurgen Klopp ana “sura mbili ” anasura kama baba pia ana sura kama kocha.

Nyota huyo wa Bayern Munich alipaza sauti kwa Meneja huyo wa Liverpool mshindi wa kombe la Premier League kwa kumsifu.

Klopp aliiongoza Liverpool katika mbio za kutwaa taji la kwanza la Premier League tangu walipofanya hivyo mwaka 1990 pia aliiwezesha Liverpool kubeba kombe la Mabingwa Ulaya msimu uliyopita.

Lewandowski anamjua vizuri Klopp kwani alishawahi kuwa mwalimu wake kipindi anacheza katika klabu ya Borussia Dortimund, na walifanikiwa kubeba makombe mawili ya Bundesliga kabla hajajiunga na Bayern Munich mwaka 2014.

Akimuongelea meneja wake pendwa, pia alishawahi kufanya kazi na Pep Guardiola, Mshambuliaji huyo wa Poland alimchagua Klopp.

“Nadhani…… Jurgen Klopp ndio chaguo langu na kisha anafuata Pep Guardiola kwa asilimia mia,” Lewandowski aliiambia ESPN walipokuwa kwenye mahojiano yaliyo ruka moja kwa moja kupitia mtandao wa Instagram.

“[Klopp] ana sura mbili unaweza ukaona kwamba ni kama baba, lakini sehemu ya pili ni kama kocha, anaweza kukuambia kila kitu – siongelei kuhusu mambo mabaya – kuhusu mambo mazuri.

“Pia kwa wachezaji anahusika sana katika kuwahamasisha, ameleta huu ukamilifu kwa sababu anajua wapi pakukuweka anakusukuma zaidi kufanya jambo fulani.

“Kiwango chake kama kocha ni cha ajabu, sio tuu kama kocha alkini pia kama mtu.”

Lewandowski amefunga magoli 51 katika mashindano yote msimu huu ni msimu bora kabisa katika maisha yake ya soka, ameisadia Bayern Munich kushinda Bundesliga na DFB-Pokal, lakini bado wapo katika michuano ya Champions League.

Bayern watawakabili Chelsea katika mchezo wa marudiano kwenye Champons League katika hatua ya 16 bora ambapo walishinda kwa 3-0 katika mchezo wa kwanza Chelsea akiwa nyumbani.


Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.

Ingia mchezoni

36 Komentara

    Ni kweli klopp yuko vizuri.

    Jibu

    Duuh noma

    Jibu

    Nikweli Klopp yupo vizuri anakubalika anacho kifanya anaitendea kazi yake kipasavyo

    Jibu

    Klopp yupo vizuri kwa upande wa ufundishaji

    Jibu

    linapokuja swala la kocha klopp hana mpinzani

    Jibu

    Lewandowski yuko sahihi kabisa maana klopp n kocha mzur sana ata ukiangalia historia yakeKlopp anajulikana kwa kupanua falsafa ya mpira wa miguu inayojulikana kama Gegenpressing na anachukuliwa na wengi kama mmoja wa mameneja bora duniani.
    Pia alicheza na kufundisha klabu ya FSV Mainz 05, na baadaye akaweza kufundisha Borussia Dortmund mwaka 2008 hadi 2015.

    Jibu

    Klopp ni moja ya makocha hodari san

    Jibu

    Klopp kocha Safi sana

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Hili halina ubishi maana tumeona Mara kadhaa katika timu anazofundisha amekuwa akiishi vizuri na wachezaji nahisi hii pia ni mbinu mojawapo anayoitumia ili kuwa nao sawa wachezaji wake na kufanya kazi kwa mahusiano zaidi.

    Jibu

    Licha ya kua tu kocha kloop ndiye aliyemfanya lewandowski kufanya makubwa Sana katika ulimwengu wa soka wakati ule kloop alipokua anainoa Dortmund.

    Jibu

    Klopp yupo vizur Sana.namkubar

    Jibu

    Anaishi vzur na wachezaj

    Jibu

    Kweli kabisah hajaongopa lewandowsk klopp ni kocha mzuri Sana

    Jibu

    Klopp aminia yuko fresh

    Jibu

    Klopp ni kocha mahili sana

    Jibu

    Klopp nikocha anaejielewa

    Jibu

    Mchango wa klopp juu ya ubora wake ni mkubwa sana

    Jibu

    Klopp yupo vinzuri

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Klopp ni mtu mzuri sana

    Jibu

    Klopp kocha mzuri

    Jibu

    Klopp ni kocha mzuri sana

    Jibu

    klopp ni mahili anajua jinsi ya kuhandle watu wake

    Jibu

    Klopp yupo vizuri amewasaidia sana watu kimpira

    Jibu

    Yuko sahihi kabisa yuko vizuri kwa upande wangu ameonyesha yaliyo tarajiwa na mashabiki wa Liverpool na hakukosea na ndio furaha ya mashabiki kuona kocha anafanya vizuri pamoja na wachezaji kuleta maendeleo hapo lazima umfananishe kama baba na upande mwingine kocha good kloppa

    Jibu

    Ndo inavyotakiwa kwa Kocha#Meridianbettz

    Jibu

    Klopp ni kocha makini sana kwenye utendaji wake was kazi

    Jibu

    Klopp yupo vizuri

    Jibu

    Yupo sahihi kabisa kwa upande wangu ameonyesha yalitarajiwa wa livepool#meridianbettz

    Jibu

    Klopp amepata sifa kubwa kutokana uwezo wake mkubwa wa kuhamasisha na kuwajengea tabia ya kujiamini wachezaji wake#meridianbettz

    Jibu

    Klopp namkubalii

    Jibu

    Kocha bora

    Jibu

    Kwa maoni take yeye ni kweli

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.