Juventus wanaanza mpango wao wa kufanya mabadiliko ya kuboresha kikosi, na kwa mujibu wa La Gazetta dello Sport wanadai Blaise Matuidi anaweza kuhamia Inter Miami wanaoshiriki MLS.
Taarifa zinadai kuwa klabu hii inayomilikiwa na David Beckham iko mbioni kukamilisha makubaliano na Blaise Matuidi, ambaye yuko mbioni kumailza mkataba wake wa kuwepo Turin.
Kiungo huyo wa Ufaransa aliziona nyavu za Serie A mara 35 msimu wa 2019-20, mkataba wake wa kuwepo dimbani Allianz unamalizika mnamo Juni 2021.
Juventus walimtumbuaa meneja wao Maurizio Sarri baada ya mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa na kuajiri kiungo wa zamani wa Andrea Pirlo, ikiwa ni nafasi mpya ya kuwepo Turin.
Kwa mujibu wa Jarida la La Gazzetta delo Sports, Gonzalo Higuain ndiye mkongwe mwingine anayetarajiwa kuondoka msimu huu wa joto. Hali ya mkataba wake inaendana na hali ya mkataba wa Matuidi.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Rehema
Hii ni habari mzuri
Sadick
David Beckham amekuwa mchezaji wa pili wa zamani kumiliki timu ya mpira wa miguu baada Ronaldo De Lima#meridianbettz
Janeflora malisa
Good
Shafii
Deal likikamilika itakua safi Sana matuid ni mchezaji mzuri na mzoefu anaweza kua sehemu ya msaada mkubwa kwa inter msimu ujao.
Mwanahamisi
Gud news
Adelta
Juventus sio poa
@meridianbettz
Tatu
Asante kwa taarifa
Issa
Wachezaji waige beckham kumiliiki timu ili kukuza soka
Sylvester
Matuidi bado yupo Fit kama Juve wakimuacha akaenda MLS yote kheri
Lydia Emmanuel Magoti
Matuidi bado yupo vizuri ilodili likikamilika itakuwa safii sana
Ester jackson
Juve sasa naona wanapotea kumtoa mchezaji mkoko ambaye yuko vizuri kikosini lakini sisi tunasema yote sawa mana viongezi wakiamua hakuna anaye weza kupinga wa nnje ya uwanja
Furahav
Habari njema.
felister
Matuid ni mchezaji mzuri na anaweza kua msaada mkubwa msimu ujao
Shan
Habar njema
Gabriel
Nautambua uwezo wa mfaransa huyo yuko vzur sana Matuidi amecheza katika mechi za chini ya miaka 18 na kupata taji mara 8, vilevile mechi za chini ya miaka 19 kupata taji mara 8. Pia alijitokeza katika mechi za chini ya miaka 21 na kuongoza hadi mchuano wa UEFA 2009 Ulaya katika mechi ya chini ya miaka 21 na kuonekana mara 24. Bahati mbaya, wasifu wake mechi za chini ya miaka ulifika mwisho kufuatia kushindwa na Ujerumani katika mchuano wa kufuzu, ambao uliamua nani atakayecheza katika mchuano wa chini ya miaka 21 wa UEFA 2009 Ulaya yaaan n mchezaji mwenye wadhifa mkubwa sana
Khadija
juve sasa naona wamepotea mchezaji mkoko ambaye yupo vizuri#meridianbettz
marry
habar nzur
rama
Maoni:vizuri sana
aisha
Kila la kheri blaise
Antony Luseno
Pirlo ameanza vyema kwa kupunguza wachezaji wasio na faida na timu
Hope mwaikuka
Nc news
Neema juma
Habarii nzuri sana
Ernest
Pirlo kaanza mambo yake sasa kutengeneza kikosi ambacho yeye anakihitaji
Devotha
Good
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Povel
Kila la kheri popote kambi
lombo
habar njema
MnonganeJR
Kiungo fundi#meridianbettz
farida ahmadi
Kambi popote
Theonestina
Safi sana
Saupha mohamed
Habari njema
Fatuma kasomo
Kila la heri
Latifa juma mohamed
Fundi!!
David Pere
Ni Jambo zuri kwenda kujiunga na timu mpya
Dorophina
Matuidi yupo vizuri juve wafanye mpango wa kumsajili
Rose kapinga
Safiiii
warda
Wafanye bwana mana mzigo mkubwa anaupata CR7#Meridianbettz
magdalena
matuidi bado anawika kwa umahili wake
Mwajumah
Habari njema#Meridianbettz
Caroline
Karibu sana kutua inter Miami
Zeiyana
Matuid ni kiungo mahili sana endapo kandarasi yake itakamilika ya kutimkia inter atakua sehemu kubwa ya msaada clubuni hapo.
Nasra
Inter watakuwa wamepata kiungo mzuri sana
Leonard
Jambo zuri
Omary lukumbi
Good news
Samiah
Nijambo jema