Ralf Rangnick amesema kwamba isingeleta maana kumbakisha nyota wa Milan Mkongwe Zlatan Ibrahimovic kama angepata nafasi ya kumbadili kocha aliyeongezwa muda katika klabu hiyo kocha Stefano Pioli.
Rangnick alikuwa akijiandaa kujiunga na klabu hiyo kwa kuchua mikoba ya Pioli lakini dili hiyo ilibuma baada ya Pioli kuwa na matokeo chanya kwenye michezo ya mwisho ya kumaliza msimu kwa kutofungwa kwenye michezo 13.
Ibrahimovic alikuwa ni silaha ya kuikoa Milan mara baada ya kutua katika timu hiyo mwezi Januari akitokea LA Galaxy kwani Milan walikuwa wamepoteza muelekeo Zlatan alifunga goli 11 katika michezo 18.
Zlatan Ibrahimovic
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United na Paris Saint-Germain, aliyefunga goli 7 baada ya kurejea kwa michezo ulimwenguni baada ya kusimama kwa muda kufuatia janga la Corona, kwa sasa yupo kwenye mazungumzo na klabu hiyo kwa klabu kutaka kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kukaa Milan.
Lakini, Rangnick amesema Zlatan asingekuwa chaguo lake katika kikosi ambacho angekiweka.
“Ulichotakiwa kuniuliza ni hiki: Kwanini Milani walikuhitaji? Walitaka ufanye nini? Labda walitaka kubalisha upepo,” Rangnick aliiambia Gazzetta dello Sport.
“Huo siyo mtindo wangu kuangalia mchezaji mwenye umri wa miaka 38, siyo kwasababu ya kipaji, kwa sababu nimelenga kutengeneza thamani na kuendeleza vipaji vya vijana.
Milani wamemalizamsimu wakiwa nafasi ya sita na hajafuzu kushiriki Champions League msimu unaofuata, the Rossoneri hawajafanikiwa kushinda kombe la Serie A tangu mwaka 2011, wakati pia hajafanikiwa kufuzu kwenye mashindano ya ulaya tangu mwaka 2014.
Kocha Ralf Rangnick
Aliulizwa kuhusu angefanya nini kuirudisha Milan kwenye ubora na kupata mafaniko katika ligi ya Italia,
“Ningeweka mikakati thabiti,kama kuhakikisha tunafuzu kucheza Champions League, kwa sababu hakuna timu kubwa inayo furahia michuano ya Europa League,”Rangnick alijibu.
“Wanamifano hai majirani zao Atalanta ni mwendo wa kilomota 30 tuu kutoka Milan, wamemaliza katika nafasi ya tatu ni kwasababu wamefanya uwekezaji wa mafanikio, wanayo moja ya akademi bora sana kwa kukuza vipaji vya vijana Ulaya.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Nasra
Km anaumuhimu abaki tu
Adelta
Ibrahimovic hawezi kubaki Milan
@meridianbettz
rama
Maoni:ibrahimovic mchezaji mzuri na mkongwe licha ya kuwa umri unamtupa mkono tena
Ernest
Sina mashaka na maoni ya Rangnick lakini kwa timu kama Ac Milan na ukiangalia mchango wa Zlatan basi Zlatan anahitajika zaidi na Ac Milan kuliko yeye anavyoihitaji Milan
Magdalena
ibrahimovic ni mahili katika mpira na ana mchango mkubwa katika timu
Zeiyana
Yupo vizuri sana ibrahimoc hakuna mchezaji yoyote pale milan hanayeweza kufikia kiwango chake
Ester jackson
Kwa mchango aliotowa ibrahimovic ni bora wamuache abaki tu Milan ila sisi mashabiki tunaheshimu maamuzi yenu zaidi
Mwajumah
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri na mkongwe licha ya kuwa umri umemtupa mkono#Meridianbettz
Dorophina
Ibrahimovic ni vizuri kama angebaki hapo hapo milan
Shan
Rangnick a natambua uzur wake yko sahh!!
marry
bdo anahitajk abak
Lydia Emmanuel Magoti
Rangnick anatambua umuhimu wake lbrahimovic
Sylvester
Kadabla kaiokoa sana Milan kwa kufunga magoli yenye umuhimu mkubwa toka alivyosajiliwa na ni mchezaji muhimu ambae bado anastahili kubaki Ac Milan
Khadija
Anaumuhimu mkubwa sana abaki tuu
Furahav
Kadabra mtu mbaya.
Gabriel
Ibrahimovic me mtazamo wang umri umeshaeenda bora aombe kustafu maana anazid kuilemaza milan u
Mwanahamisi
Gud news
Samiah
Kadabra mtu makini
Venerose
Asante kwa makala
aisha
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri ni bora abaki millan aendeleze soka
Saupha mohamed
Bora abaki ibrahimovic ni MTU mwenywe
Povel
Huo mtazamo wake tu natumain kabadlla bado anakitu cha kuwa offer vijana ndani ya Milan na hata nje ya Milan
Johnmary joel
Abaki hapo hapo#meridianbett
Sabrina
Ibrahimovic Bado yuko vizuri abaki tu hapo hapo
Amiri Kayera
Sasa anachez mpila stareh t
Sadick
Ilijulikana tangu awali kwamba Ralf Rangnick angechukua mikoba AC Milan na Ibrahimovic alisema hamujui kocha huyo kwa maana hana cha maana atakachoifanyia Milan nadhani alijua hangekuwa na nafasi tena#meridianbettz
Devotha
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri sana
farida ahmadi
Ibramovic ni mchezaji mzuri Sana
Theonestina
Abaki tu ibramovic . yuko vizur
Latifa juma mohamed
Ibrahimovic ni mchezaji mahiri aendelaa kusalia hapohapo kwa kumalizia muda wake kwani umri pia unamtupa mkono.
David Pere
Sina mashaka na maoni ya Rangnick lakini kwa timu kama Ac Milan na ukiangalia mchango wa Zlatan basi Zlatan anahitajika zaidi na Ac Milan kuliko yeye anavyoihitaji Milan
warda
Ibrahimovic namuonaga hana bahati#Meridianbettz
felister
Ibrahimovic ni mchezaji mzuri na mzoefu
Tatu
Ibrahimovic ni mchezaji bora pale milan
Samira
Ni mchezaji mzuri na milan bdo inaitaji mchango wake sana
Hope mwaikuka
Ila kama age ishakata
Shafii
Wahenga wanasema safari na wazee kadabra anaweza kucheza hata misimu miwili kabla haja staafu.