Arsenal wamepangwa na timu ngumu kwenye michezo ya ugenini katika hatua ya mapema kwenye msimu mpya baada ya ratiba ya Premier League kutoka siku ya Alhamisi.
Ufunguzi wa msimu wa 2020-21 utahusisha kwenda mbali kidogo ya London kwa Upande wa Gunners lakini baada ya kuwatembelea Fulham waliopanda daraja msimu huu, mambo yatakuwa ni magumu zaidi Arsenal wakiwa tayari wameanza mbio za kuwania kombe la Premier League.
Kabla ya Oktoba haijaisha, Mikel Arteta na viajana wake watatembelea viunga vya Anfield, Etihad na Old Traford.
Mashabiki watapaswa kusubiri mpaka tarehe 5 mwezi Disemba kuona kama Arsenal wataweza kulipiza kisasi cha kichapo ilichopata mwezi Julai na timu ya Mourinho Tottenham, na mchezo marudiano utapigwa mwezi Machi.
Mchezo wa nyumbani wa ufunguzi kwa Gunners pia utakuwa ni Londoni debi na West Ham ambao watawatembela Arsenal wakti siku ya Boxing Day tutaona Chelsea wakitembelea viunga vya Emirates.
Timu ya Arsenal inayonolewa na Arteta ilimaliza katika nafsi ya nane msimu uliyopita, lakini walitetea msimu kwa kutwaa taji la FA.
Ratiba kamili ya Arsenal
Septemba 12 – Fulham v Arsenal
Septemba 19 – Arsenal v West Ham
Septemba 26 – Liverpool v Arsenal
Oktoba 3 – Arsenal v Sheffield United
Oktoba 17 – Manchester City v Arsenal
Oktoba 24 – Arsenal v Leicester City
Oktoba 31 – Manchester United v Arsenal
Novemba 7 – Arsenal v Aston Villa
Novemba 21 – Leeds United v Arsenal
Novemba 28 – Arsenal v Wolves
Disemba 5 – Tottenham v Arsenal
Disemba 12 – Arsenal v Burnley
Disemba 15 – Arsenal v Southampton
Disemba 19 – Everton v Arsenal
Disemba 26 – Arsenal v Chelsea
Disemba 28 – Brighton v Arsenal
Januari 2 – West Brom v Arsenal
Januari 12 – Arsenal v Crystal Palace
Januari 16 – Arsenal v Newcastle United
–
Januari 27 – Southampton v Arsenal
Januari 30 – Arsenal v Manchester United
Februari 2 – Wolves v Arsenal
Februari 6 – Aston Villa v Arsenal
Februari 13 – Arsenal v Leeds United
Februari 20 – Arsenal v Manchester City
Februari 27 – Leicester City v Arsenal
Machi 6 – Burnley v Arsenal
Machi 13 – Arsenal v Tottenham
Machi 20 – West Ham v Arsenal
Aprili 3 – Arsenal v Liverpool
Aprili 10 – Sheffield United v Arsenal
Aprili 17 – Arsenal v Fulham
Aprili 24 – Arsenal v Everton
Mei 1 – Newcastle United v Arsenal
Mei 8 – Arsenal v West Brom
Mei 12 – Chelsea v Arsenal
Mei 15 – Crystal Palace v Arsenal
Mei 23 – Arsenal v Brighton.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Ernest
Kweli Arteta na vijana wake wanakazi ngumu sana mbele yao kuweza kutoboa hapa inahitaji juhudi za mchezaji mmoja mmoja na mbinu za Kocha
Sylvester
Uingereza kwa sasa hamna timu nyepesi kwani ligi itakapoanza timu zote zitakua ngangari tayari kwa mtanange
Mwajumah
Asante kwa makala#Meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Akuna timu nyepesi timu zote lazima ziwe vizuri naushindani kilamtu atakuja kivingine
Nasra
Asante kwa makala
Dorophina
Arsenal wanakibarua kizito msimu huu unaoanza
Fatina mfingi
Makal safi
Zeiyana
Sikuizi kwenye gemu akuna kuagalia tena team kubwa kikibwa kuangalia ubora wa timu so tumeona mabadiliko mengi sana kwenye gemu clabu kubwa zimenda na maji kwa kuzarau team wanazo cheza nazo so kikibwa arsenal wajipange kila kitu kinawezekana
Furahav
Ratiba iko vizuri.
Gabriel
Me sio hizo timu ngumu ambazo Arsenal amepangiwa ambazo zinaweza kumtetemesha bado sijaona kabisa
Adelta
Bonge la makala@meridianbettz
Ester jackson
Asante kwa taarifa mapema kabisa
Tahiya
Mapambano laxima yaendelee
rama
Maoni:vuzuri meridian kutujuza ratiba kwa mashabiki
Khadija
Ratiba ipo poa sana
Mwanahamisi
Ratiba iko poa
Samiah
Gud
Magdalena
arsenal wapambane sana ili kusahihisha makosa yao kwanza
aisha
Arsenal kazi wanayo duuh sijui itakuaje sasa
Venerose
Makala nzuri
Sabrina
Bora Arsenal wameipata ratiba mapema wataifanyia kazi
Saupha mohamed
Team zimejipanga vizuri
Povel
Epl is back soon Gunner wanatakiwah kupambana wasingizieh fixture kwao ngumu
Salma ngende
Team ziko pouw
Johnmary joel
Jamani hakuna kazi nyepesi wajipange vizuri na kila mmoja akazane ilitimu isonge mbele#meridianbett
Amiri Kayera
Mechi ngum kwao
Sadick
Ratiba ya kujipima ubavu kama kweli washindani au wasindikizaji?. Naamini Arteta anataka kuleta kitu cha tofauti msimu ujao#meridianbettz
Devotha
Ratiba iko vizuri
farida ahmadi
Asante kwa taarifa
Theonestina
Makala nzuri Sana
Janeflora malisa
Ratib imo poa sana
Latifa juma mohamed
Makala nzuri natumai arsenal wamejipanga imara kwa vijana hao.
David Pere
Mchezo wa nyumbani wa ufunguzi kwa Gunners pia utakuwa ni Londoni debi na West Ham ambao watawatembela Arsenal wakti siku ya Boxing Day tutaona Chelsea wakitembelea viunga vya Emirates.
Fatuma kasomo
Gud
Shan
Makala safi ni vijana wa team zote kujianda a vyema!
warda
Watajuta mana wamelegea kama Yanga#Meridianbettz
felister
kwa ratiba hii arsenal inabidi wajitahidi sana
Tatu
Arsenal msimu huu wamejipanga sana
Samira
Arteta anakazi ngumu sana msimu huu
Hope mwaikuka
Kikubwa wapambane tu
Shafii
Ni vyema ukamaliza kibarua mapema na wagumu ili mbeleni kuwe mtelemko.