Lionel Messi lazima ufanyike mkakati wa kumshawishi kuendelea kuwepo Camp Nou ndiyo klabu sahihi kwake hii ni kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona Deco.
Hatma ya Messi imegubikwa na sintofahamu tangu wiki mbili zilizo pita baada ya kula kipigo cha mwaka cha 8-2 dhidi ya mabingwa wapya wa Champions League klabu ya Bayern Munich katika hatua ya robo fainali.
Taarifa zinazoendelea Catalonia zinadai kwamba mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d’Or bado yupo kwenye vuguvugu la matarajio ya kuendelea kuwepo klabuni hapo kufuatia mkutano na ujio wa kocha mpya Ronald Koeman.

Koeman ametua Barcelona baada ya Quique Setien kufungishwa virago baada ya kuwa na matokeo duni klabuni hapo.
Akiongea na Mundo Deportivo, mchezaji wa zamani wa timu ya Barca Deco ametoa hoja kwa Barca kufanya kila namna kumbakisha nyota huyo wa Argentina ilikukabiliana na ukweli usioelezeka.
“Sijui nini kitatokea kama Messi ataondoka, lakini anamkataba,” alisema Deco.
“Ni mchezaji mwenye kiu ya kushinda na itategemea Barca watafanya nini kama wakitaka kumpa ofa, sijawahi kuongea naye lakini na hakika huwa anafikiria hivyo.
“Nadhani anapaswa kufikiri kuhusu hatima ya hatua ya soka lake. Ni ngumu kufanya maamuzi kwa sababu tunazungumzia kuhusu klabu ya maisha yake kwenye mpira, sio kwamba amekuwa Barca kwa miaka mitatu au minne.
“Tunaongelea kuhusu mchezaji bora wa muda wote katika klabu, lakini ipo wazi kwamba muda wote Messi huwa anafikiria kushinda sasa nashindwa kupata picha Barcelona bila Messi ingawa inaweza kutokea.
Beti Mbio za Mbwa Mubashara
Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.


Hope mwaikuka
Vyovyote vile poa tu
Issa
Mess kuiacha barca ni ngumu sababu yeye atatumika kama kuelekeza wschezaji
Wagen kwakuwa ye ni mkongwe aliebaki pale
Shafii
mi nadhani messi club yake sahihi ya kumaliza career yake ya mpira ni barca.
Sabrina
Hivyo hivyo itakua tu
Frank P
tusubiri kuona barca mpya bila huyo messi
Gabriel
Ronald Koeman anachokifanya ni kubadilisha kikosi Barca na kuanza kutengeneza upya kabisa me ninachokiona kuwa koeman anachokifanya n kizur sana 👍
Samira
Ni kweli barca bila messi itapooza sana ila tamani kumuona akienda kucheza sehemu nyingine nje ya Barcelona
Povel
Duh ngoj tuone chochote kinawez kana kwny maisha ya mpr ila natumain watawez kupambana bila Messi ingawah pengo lake litachukuwah muda kudhibika ila yetu macho na masikio kuckiah kitakacho jili ndan ya nou camp barcelona
Latifa juma mohamed
Messi ni mchezaji mwenye kiu ya kushinda na itategemea Barca watafanya nini kama wakitaka kumpa ofa.
Furahav
Barca bila messi inawezekana.
Ester mmakasa
Mbona hapo alipo yuko sehemu sahihi kwa wakati huu
Genia Sikaluzwe
Messi akiondoka anaweza kutokea mwingine km yy.wapo wng lkn hawapewi nafasi
David Pere
Nadhani anapaswa kufikiri kuhusu hatima ya hatua ya soka lake. Ni ngumu kufanya maamuzi kwa sababu tunazungumzia kuhusu klabu ya maisha yake kwenye mpira, sio kwamba amekuwa Barca kwa miaka mitatu au minne.
Rehema
Good
farida ahmadi
Hinawezekana Barcelona bila Messi haiwezekani timu nzima imtegemee mtu mmoja
rama
Maoni: daaaa barcelona bila messi watapata tabu sana mpaka kuja kuwa sawa
Adelta
Messi abaki hapohapo@meridianbettz
Zeiyana
Messi kuondoka Barcelona si kweli kabic ukiangalia pale messi yupo kama mcjezaji mkongwe kuwafundisha wachezaji wenzake ingekua vizuri kama hatabaki clabuni pale
aisha
Duuh naona kama itakua majanga barc bila messi
Sauda
Barca itazorota sana
Caroline
Barca bila Messi.sijui itakuajee
Genia Sikaluzwe
Messi akiondoka anaweza kutokea mwingine km yy.wapo wng lkn hawapewi nafasi
Tatu
Messi kuondoka Barcelona itakuwa ngumu mambo yote haya yanaletwa na coach koeman anataka kubadilishavtimu nzima
magdalena
messi aendelee tu kukaa barca panamfaa na ana uzoefu napo mpaka pale atakapostaafu
felister
nashindwa kupata picha Barcelona bila Messi itakuaje ijapokua inaweza kutokea
Ester jackson
Hayo ni mawazo yake tu katika mchezo kama wa mpira kila mchezaji anaumuhimu kwenye kikosi hicho na hata kama hatakuwepo mmoja wao lazima mechi ichezwe sasa mm sijaona umuhimu wa Kumtegemea mchezaji mmoja ingawa wapo wachezaji wengine kama Pataki kuendelea back basi ingawa watachelewa kuwa bora lakini IPO siku watakuwa bora tena
Nasra
Nice
Saupha mohamed
Barca haitaweza bila mess
Lydia Emmanuel Magoti
Mmm Barca bila Messi sizani kwasababu Messi Barca ndichambo Chao akiwa pale Kati mzee wakusababisha Sasa Messi akiwa ayupo kwenye engo hile pale kutakuwa kumepwaya
Khadija
Messi kuondoka barcelona itakuwa ngumu
Ernest
Ifike kipindi Barca wanatakiwa kufahamu Messi anaweza ondoka muda wowote cha muhimu ni kujipanga kutafuta mbadala japo kuwa ngumu kupatikana mchezaji kama Messi and CR7 kwasasa.
Theckla
Inawezeka Sana tu
Rose kapinga
Mambo yanabadilika kila siku iitwayo leo,tusiishi kwa kukarir!!!
Fatuma kasomo
Inawezekana sana
Amiri Kayera
Aah watazoea t mbn kabla yake ilikuep
Dorophina
Messi mkongwe Barca sidhan kama watafikia maamuzi hayo ya kumuondoa
Asia Abdy
Duh itakua noma saana
Samiah
Nice
Khadija
Messi kuondoka barcelona itakuwa ngumu
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa
Neema
Hata akiondoka watapambana na wataweza tu
Sadick
Sijui nini kitatokea kwa timu aliyoshiriki na kufanikiwa kushinda mataji mengi na kuishi hapo kwa miaka 20. Lakini pia nadhani Barcelona inatakiwa kufikiria kuna maisha hata baada ya Messi#meridianbettz
warda
Sio Inawezekana Itatokea Kabisa kukaa Miaka 20 Sio kitu kabisa