Shane Duffy Akamilisha Dili la Mkopo kwa Celtic

Shane Duffy ameweka wazi kuwa sasa ametimiza ndoto yake ya utotoni baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kwa msimu mzima kwenda Celtic akitokea Brighton and Hove Albion.

Beki huyo wa kati ataungana na mabingwa wa Scotland tayari kwa kampeni ya msimu wa 2020-21 baada ya kutimiza jukumu la kimataifa, akiwa anajiandaa kwa mechi za Ligi ya Mataifa dhidi ya Bulgaria na Finland na pia Jamhuri ya Ireland.

“Nimefurahia, ni kitu ambacho nimekuwa nikiota kukifanya kila wakati na nimefurahi sana kwenda pale sasa na kuendelea mbele. Natumai ninaweza kufanya kazi bora kwa klabu.” Alinukuliwa Shane Duffy na tovuti ya klabu -Celtic

“Watu wataelewa uhusiano wa Derry huko Ireland na Celtic, ni kitu tulichokifahamu, kweli.

“Wakati nakua, niliweza kuwa na bahati ya kuwepo kwenye michezo kadhaa na kupata uzoefu wake. Ni kilabu changu cha ujana na kwa kweli ni kama ndoto unaapokuwa mtoto.”

“Sasa napata nafasi ya kwenda Celtic Park na kuichezea kilabu ni heshima kubwa na natumaini ninaweza kuwafanya wajivunie.”

Shane Duffy alijiunga na Brighton akitokea Blackburn Rovers mnamo Agosti 2016 na kuisaidia klabu hiyo kufikia Ligi Kuu.

Alikuwa tegemeo katika kampeni mbili za kwanza za Seagulls katika ligi kuu, lakini alipata kuanza katika mechi 12 tu za Ligi Kuu chini ya Graham Potter muhula msimu baada ya kuwasili kwa Adam Webster kutoka Bristol City.


 

SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza Sasa.

51 Komentara

    Ni jambo zuri kwake ni wakati wa yeye kwenda kuonesha uwezo wake ndani ya kikosi cha Celtic.

    Jibu

    ndoto zikitimia huwa ni raha sana hongera sana kijana kapige kazi ili ndoto zako zitimie zaidi

    Jibu

    inabidi akaonyeshe kiwango chake sasa

    Jibu

    Shane Duffy chini ya Kocha Gerrard itaendeleza moto wake wa kutokuwa na mpinzani ktk Ligi Ya Uskochi#meridianbettz

    Jibu

    Shane beki mahir pia safi kupata changamoto mpya

    Jibu

    Ni vyema yuko vizur wataona umahiri wake!

    Jibu

    Muda wa kuonyesha kiwango umefika

    Jibu

    Ni Vizuri ndoto yake imetimiya
    @meridianbettz

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    inabidi akaonyeshe kiwango chake

    Jibu

    Sasa ajitahidi akaze

    Jibu

    Hongera sana kwa kutimiza ndoto yake

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Shane Duffy alijiunga na Brighton akitokea Blackburn Rovers mnamo Agosti 2016 na kuisaidia klabu hiyo kufikia Ligi Kuu,hongera sana ndoto zmetimia

    Jibu

    Ni Jambo zuri inabidi akaonyeshe kiwango chake sasa#Meridianbettz

    Jibu

    Celtic imepata beki kisiki

    Jibu

    Hongera celtic mmepata jembe

    Jibu

    Wakati wa kukamilisha ndoto zake umetimia

    Jibu

    Hatimaye ndoto zake zimetimia ni wakati wakwenda kuonyesha uwezo wake sasa

    Jibu

    Safi sana kijana kaza buti

    Jibu

    Kila la kheri duffy

    Jibu

    Safi sana yuko vizuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Niwakwati wakuonyesha kiwango chake

    Jibu

    brighton wanaachiaje wachezaji kama hawa for next season

    Jibu

    Nijambo jema

    Jibu

    Aende kukiwasha Tu huko

    Jibu

    Mmh celtic inataka watu makini kama hawa

    Jibu

    Itakua poa

    Jibu

    Inapendeza sana kuamian ndoto yako

    Jibu

    Ni mchezaji anaejua anachokifanya kwahiyo ni jambo jema kutimiza ndoto zake kama alivyosema

    Jibu

    Ni Jambo jema

    Jibu

    maamuz mazr

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Hongera kwake kwa kutimiza ndoto yake

    Jibu

    Alikuwa tegemeo katika kampeni mbili za kwanza za Seagulls katika ligi kuu, lakini alipata kuanza katika mechi 12 tu za Ligi Kuu chini ya Graham Potter muhula msimu baada ya kuwasili kwa Adam Webster kutoka Bristol City.

    Jibu

    Yuko vizuri Sana

    Jibu

    Bonge la deal!!!

    Jibu

    Kila LA khery Shane Duffy

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Shane Duffy chini ya Kocha Gerrard itaendeleza moto wake wa kutokuwa na mpinzani ktk Ligi

    Jibu

    safi kijana kafanye kazi

    Jibu

    Pigo kubwa sana kwa Duffy kuondoka ndani ya Uingereza kwa sisi wazee wa Fantasy

    Jibu

    iko poa

    Jibu

    Jambo zuri.

    Jibu

    Shane Duffy

    Jibu

    Hongera nasubiri kuona ubabe wake

    Jibu

    Kijana yupo vzr

    Jibu

    Huwaga sielewi hizi habar za mikopo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.