Aliyekuwa mshambuliaji wa Juventus, Gonzalo Higuain, amepokea ukaribisho kutoka klabu inayomilikiwa na David Beckham, Inter Miami.
Alhamisi, nyota huyu aliripotiwa kuwa kwenye mazungumzo ya kusitisha mkataba wake na Juventus, mkataba ambao ulikuwa umesalia mwaka mmoja kuisha. Taarifa zinasema kuwa staa huyu ameamua kukubali nusu ya malipo yake ya mwaka uliosalia kwenye mkataba wake.
Usiku wa jana, Higuain alisafiri kuelekea Inter Miami CF kukipiga kwenye Major Soccer League. Mlezi wa Inter Miami, Jorge Mas alichapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya kumpokea Higuain na kusema karibu kikosini.
“karibu sana Gonzalo Higuain, mshambuliaji wa kiwango bora duniani na shujaa” -Jorge Mas
Hata hivyo, bado Juventus hawajatangaza rasmi kusitisha mkataba wake na staa huyu. Mara baada ya Juventus kukamilisha kutangaza kuvunja kwa mkataba wake, Gonzalo Higuain atakuwa huru kutia saini mkataba mpya.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Shafii
Deal zuri kwa inter kwa uzoefu aliokua nao higuian atakua msaada mkubwa ndani ya kikosi cha inter.
Aziza mushi
Asanten kwa tarifa meridian
Frank P
MLS on his branding kafanya maamuzi sahihi
Dorophina
Kila lakheri Gonzalo katika majukumu yako mapya ndani ya inter
Tatu
Gonzalo higuain ni mshambuliaji mwenye kiwango amepata dili nono LA kuamia club ya inter miami
Ernest
Kikongwe Higuain ataenda kuuwasha Moto Marekani
Adelta
Kila la kheri Gonzalo @meridianbettz
Fatina
Kila la kher uko uwendako kapige kazii!
Sauda
Kaz kaz kijana
Mwanahamisi
Kila la kheri
Lydia Emmanuel Magoti
Mzee wakazi anaenda kukiwasha Inter kapige kazi mzee baba
Elika
Kila la kheri
Sadick
Inter Miami inajiimaarisha ktk ligi ya MSL kwa kusajiri wachezaji nyota kutoka Ulaya#meridianbettz
warda
Huko sasa anaenda ni kwenda kula maisha#Meridianbettz
JULIANA WILBARD ALEX
Asante kwataharifa
Amiri Kayera
Kwa ligi aliyeend naamin atafunga San
aisha
Gonzalo kama namuona atavyoenda kukiwasha
Gabriel
higuian atakua msaada mkubwa ndani ya kikosi cha inter Miami
Nasra
Asantee kwa makala
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Magdalena
Safi sana uguain
Leonard
Safi
Neema
Habari njema
Issa
Higuain safi kuendeleza soka huko miam kwakuwa ni mchezaj mzoefu na aliecheza ligi nyingi
Khadija
kila kheri#meridianbettz
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Saupha mohamed
Taarifa njema
Mwajumah
Kila la kheri uko uendako
Caroline
Bonge la dili
felister
deal zuri kwa inter
Povel
Deal done hatawasaidiah
Theckla
Kila laher gonzalo
Rehema
Bonge la makala
Sabrina
Gonzalo kawajibike vyema inter miami
Rose kapinga
Safii