Kai Havertz amefurahishwa na usajili wake wa kujiunga na Chelsea chini ya Lampard. Kwa mujibu wa Kai, hii ni ndoto yake imetimia.
Japokuwa anakubaliana na uhalisia kwamba anahitaji muda wa kujiweka sawa na kuizoea Ligi ya Uingereza, Kai anasema anampenda Lampard tangu akiwa mtoto na ni furaha kwake kufanya nae kazi akiwa Chelsea.
“Ndio, nimekuwa nikimtizama [Lampard] tangu nikiwa mtoto. Ni kitu kikubwa kuwa na kocha ambaye amecheza EPL kwa miaka mingi.
“Nilikuwa ninampenda kama mchezaji. Ni moja ya wachezaji bora wa Uingereza kipindi chake. Yeye na Chelsea ni vitu vikubwa. EPL inawachezaji wakubwa duniani.
“Ninafuraha ni kocha wangu sasa. Ni hatua kubwa kuja kwenye EPL, nimekuwa nikiiangalia nilipokuwa mtoto. Ninafuraha kucheza kwenye moja ya timu kubwa Uingereza na duniani.
“Nilikuwa ninandoto ya kuichezea EPL nilipokuwa mtoto, sasa ndoto imekuwa kweli japo naona kama ni mapema sana, nina miaka 21 tu. Siamini kama ni mimi nitakayekuwa ninaichezea klabu kama Chelsea.”
Havertz alijiunga na Chelsea kwa dau la pauni milioni 72 akitokea Bayer Leverkusen inayocheza Bundesliga – Ujerumani.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Lydia Emmanuel Magoti
Kai ndoto yake imetimia kupiga kazi na Lampard atakinukisha Dogo huyo hapo
Dorophina
Havertz atajifunza mengi kupitia lampard maana lampard yupo vizuri sana na Ni mkongwe kwenye soka
felister
hongera kwa kutimiza moja ya ndoto zako
Fatina mfigi
Ni Jambo zuri kutimiza ndoto yako!
sylvester
Inabidi akaze Uingereza si ligi ya mchezo mchezo ili uendelee kua bora
Hidaya
Kai ametimiza ndoto yake
Zeiyana
Chelsea wamejitaidi sana kusajiri wachezaji chipukizi
Sauda
Havertz atapata mengi sana ya faida kutoka kwa Lampard.
Caroline
Kikosi cha Chelsea ni moto wa kuotea mbali
Ernest
Havertz anahitaji muda kidogo tuu kuizoea ligi ya Uingereza
Tatu
Lampard ni kocha mzuri sana
Shani
Usajili mzur
Adelta
Havertz Yuko vizuri na anapenda kujifunza@meridianbettz
Johnmary joel
Nivizuri kujifunza kwamwenzako city au jambo ambapo ulijui#meridianbett
Gabriel
Karbu sana EPL Havertz
Elika
Lampard yuko vizur sana
Mariam mtandama
Vizur
Mwanahamisi
Usajili mzuri
Angelina
Goodnews
lombo
habar njema
Nasra
Nice
Mwajumah
Lampard ni kocha mzuri sana
Elika
Havertz yuko vizuri
Juliet
Safiii
Janeflora malisa
Nice
Fatuma kasomo
Safi sana
Frank P
Mjomba Kai hiyo Epl hiyo jikaze mzee kila game ni ngumu
Neema
Lampard yupo vizuri
Theckla
Ni furaha Sana mtu akitimiza ndoto yake
Theonestina
Habari njema
Sadick
Kai Havertz anatarajiiwa kuonyesha thamani yake uwanja. Lampard pamoja ya kwamba alikuwa kiungo lakini ndio mfungaji namba moja all the time wa Chelsea kwahiyo ana mlima mkubwa wa kupanda#meridianbettz
Khadija
Usajiri mzuri#meridianbettz
Amiri Kayera
Kula la kher kai
Agness
Yuko vizuri
Sabrina
Lampard ni kocha mzuri yupo vizuri Havertz atapata mengi kupitia lampard
Shafii
Kai harvest akifuata misingi ya lampard atakuja kufanya makubwa Sana.
Aziza mushi
Lampard ni kocha mzuri
David Pere
Inabidi akaze Uingereza si ligi ya mchezo mchezo ili uendelee kua bora
Povel
Kai dau lake na uwezo wake mmmh🙉🙉🙉
Rose kapinga
Mambo yatakua mazuri sana kwa uwepo wake!!
magdalena
lampard yupo vizuri sana katika kufundisha kijana atajifunza kitu sana
Genia Sikaluzwe
Lampard ni kocha mzuri
Njiku
Acha tuone atafanya nini maana ligi ya uingereza sio poa
Latifa juma mohamed
Alikuwa na ndoto ya kuchezea EPL tang yungali mtt nadhan ndoto zake zmetimia havertz akiwa chini ya lampard aendelee kujikaza league ya uingereza sio poa.
Saupha mohamed
Jambo zuri
Hopemwaikuka
Inapendeza sana
Issa
Lampard nguli lazima ufate tu