Erling Haaland alichagua kujiunga na Dortmund na siyo RB Leipzig kwa sababu hakuhakikishiwa muda zaidi wa kucheza, hii ni kwa mujibu wa kiongozi wa michezo wa klabu ya Leipzig.
Mshambuliaji huyo wa Norway amekuwa na msimu mzuri katika klabu ya Dortmund kwa kufunga magoli 18 katika mashindano yote tangu ajiunge mwezi Januari akitokea klabu ya Salzburg.
Leipzig pia walikuwa wakihitaji huduma ya mshambuliaji Haaland, walipeleka ombi lao katika klabu hiyo ya Australia lakini Rangnick alisema Dortmund walianisha nafasi kubwa ya kucheza kwa mchezaji huyo.

“Kutokana na kila kitu ninacho kifahamu kuhusu Haaland na baba yake, sababu kubwa ilikuwa ni kwamba Dortmund walimhakikishia nafasi ya kucheza,” Rangnick aliiambia MDR.
“Kitu ambacho hakikuwa kigumu kwa sababu ukiachana na Paco Alcacer walikuwa hawana mshambuliaji wa kati.Alcacer alikuwa ni nusu ya kasi ya Haaland pia mara nyingi alikuwa majeruhi.
Mapenzi ya Naby Keita na Dayot Upamecano yalipelekea wahame kutoka Salzburg kwenda Leipzig na Rangnick hakutarajia kukosa mchezaji wa kiwango cha Haaland.
“Aibu gani hii kwa Leipzig, Haaland alikuwa ni mchezaji sahihi kutokana na mtindo wetu,” aliongeza Rangnick.
Leipzig kwa sasa wapo kwenye rada za kumnasa mchezaji kutoka Norway Alexander Sorloth, ambaye alishindwa kuwa na kiwango kizuri ndani ya Premier League akiwa na Crystal Palace lakini sasa yupo kwa mkopo klabu ya Trabzonspor nchini Uturuki.
“Labda Alexander Sorloth, Haaland wa pili atakuja RB Leipzig.”alisema Rangnick.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa Haaland
Zeiyana
Halaand yupo sehemu sahihi
Caroline
Ni vizuri kuangalia uhakika wa kazi na maslahi.sio kwenda ilimradi.hongera Haaland
Tatu
Dortmond wamepata mchezaji mnzuri
Ernest
Huku ni kumkosea Heshima Erling Haaland, Kama Haaland angesajiliwa na timu nyingine yoyote lazima angekuwa kwenye first eleven na angeanza kucheza Mara kwa mara kutokana na kiwango alichonacho sasahivi.
Gabriel
Kwel amefanya maamuz mazur sana maaana unaweza kwenda timu kubwa then ukakosa namba
Mwajumah
Halaand yupo sehemu panapomfaa
Nasra
Mchezaji yuko vzuri
Hopemwaikuka
Umefanya ktu kzur tu
Adelta
Haland Yuko sehemu sahii kabisaa
Issa
Haaland anajua kaz yake. Na kiwango chake ni safi ila ajiendeleze sana
Sabrina
Haland yupo vizuri
Fatina mfingi
Habar nzur
Rehema
Habari njema
Theonestina
Yuko vizur Sana uyo jamaa
aisha
Haaland anajua sana yuko vizuri
Amiri Kayera
Mda wake Haland kufany vzur
Mariam mtandama
Habari njema
Latifa juma mohamed
Gud news.
Saupha mohamed
Good news
Sauda
Haaland yupo vizuri
Fatuma kasomo
Amefanya maamuzi mazuri
Theckla
Maamuzi sahihi
Khadija
Namkibali sana huyo mchezaji
Janeflora malisa
Habar njm
Elika
Safi sana jamaa yuko vizur
Povel
Hz ni update za waandishi wa habar ila kwa uwezo wa haaland timu yyte angepata nafasi ya kucheza baran ulaya kama angejiunga nayo
magdalena
yuko sahihi na maamuzi yake alijua kuona mbele
Angelina
Goodupdate
Dorophina
Dortmund wamepata mchezaji mzuri sana
Salma ngende
Habari njema
Neema
Yuko vzr sana kijana
Shani
Ubora wake haupingiki uwanjani
Samiah
YUPO vzr huyo mchezaji
Mwanahamisi
Habari njema
felister
amefanya maamuzi mazuri
David Pere
Huku ni kumkosea Heshima Erling Haaland, Kama Haaland angesajiliwa na timu nyingine yoyote lazima angekuwa kwenye first eleven na angeanza kucheza Mara kwa mara kutokana na kiwango alichonacho sasahivi.