Karolina Pliskova Kidedea French Open

Karolina Pliskova ameibuka na kuwa mshindi kwenye mchuano mgumu dhidi ya mpinzani wake kutoka Misri, Mayar Sherif kwenye raundi ya kwanza ya French Open.

Bingwa huyu anayeshikila namba 4 duniani, Pliskova alikuwa na pointi 8 zaidi katika ufunguzi kabla ya kupoteza kwenye raundi ya mapumziko dhidi ya Sherif ambaye anashikilia nafasi ya 172 duniani.

Karolina Pliskova Kidedea French Open

Pliskova alitumia mda mfupi kupindua meza dhidi ya mpinzani wake mwenye miaka 24 baada ya kushinda mechi 4 mfululizo. Amshinda kwa seti 6-7 (9-11) 6-2 6-4.

-Karolina Pliskova

“Haikuwa kazi rahisi. Hasa baada ya kupoteza seti ya kwanza baada ya kuwa na pointi. Amecheza (mpinzani wake) vizuri sana hasa katika mazingira haya.”

Pliskova, ambaye hajawahi kushinda Grand Slam sasa anaenda kuumana na Jelena Ostapenko ambaye anashikiria namba 43 duniani.

 


 

Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

32 Komentara

    Hongera mwanadada kwa kutuwakilisha vyema wanawake wotee,kipaji ndani ya damu!!!!

    Jibu

    pongezi nyingi sana kwake

    Jibu

    Safi sana mwanadada..

    Jibu

    pongezi nyingi sana kwa Karolina Pliskova

    Jibu

    Amechez vizur Sana amestahili alichopata

    Jibu

    Saf sana kawakilisha vyema

    Jibu

    saf

    Jibu

    Gud job caroline

    Jibu

    Kazi nzuri mdada

    Jibu

    kazi nzuri caroline

    Jibu

    Safi mdada

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Safi sana caroline

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Calorine hanajituna sana hanaitaji pongezi kwa jitiada hanazo zifanya

    Jibu

    Hongera karolina kwa hatua uliyofikia

    Jibu

    Hongera wajinaa

    Jibu

    Mwanadada yuko vzuri sana

    Jibu

    Djokvic ni moto kwenye tennis anaweza kubeba French open

    Jibu

    Lilikua pambano kali sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    French Open kumenoga

    Jibu

    Katishaaa kinyamaa mwanadadaa

    Jibu

    Wadada tunazidi kungaa kwenye tenis

    Jibu

    Pliskova, ambaye hajawahi kushinda Grand Slam sasa anaenda kuumana na Jelena Ostapenko ambaye anashikiria namba 43 duniani.

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Caroline kajua kuosha jina hongera dada

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.