Genoa Yathibitisha Visa 14 vya Corona.

Klabu ya Serie A Genoa imetangaza watu kumi na nne katika klabu wamerudi na virusi vya Corona.

Visa hivyo vilikuwa ni kati ya wachezaji na watumishi wengine wa klabu baada ya mchezo dhidi ya Napoli siku ya Jumapili mchezo ambao Genoa ilichapwa 6-0.

“Klabu mefuata taratibu na itifaki na imetaarifu mamlaka zote zinazo husika. Klabu itatoa taarifa jinsi hali itakavyoendelea,” Genoa walisema kupitia maelezo siku ya Jumatatu.

Taarifa hii inamaanisha ratiba ya Jumamosi inayoonesha Genoa atakutana na Torino ipo kwenye shaka kubwa la kuhairishwa.

Lakini pia Inamaanisha Napoli watatakiwa kufanya vipimo kwa wachezaji wake kabla ya mchezo dhidi ya Juventus siku ya Jumapili.

Sampdoria pia imethibitisha kuwa mshambuliaji wao Keita Balde amekutwa na maambukizi ya COVID-19 na kwka sasa atafuata taratibu muhimu za kiafya ili kuepuka kusambaza virusi hiivyo hatari.

Mchezaji huyo alikuwa anatakiwa kujiunga na klabu ya Sampdoria akitokea Monaco kwa mkopo.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

36 Komentara

    Huu ugonjwa jamani uishe tu

    Jibu

    Duu iligonjwa mbona linazidi kutapakaa kwa wachezaji siatari hiyo tumuombe mungu iligonjwa lisizidi kiwango kwasababu mpaka ligi itastop

    Jibu

    Corona noma

    Jibu

    Hili gonjwa litasababisha mipira kufungiwa tuanze kupata tabu mungu tunusuru na huu ugonjwa

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Corona ni hatari sana

    Jibu

    hili janga la corona sasa linataka kutufanya watu tufe na njaa mipira ikifungwa eh Mungu tutetee

    Jibu

    Colona noma

    Jibu

    Corona bado tishio

    Jibu

    Duh hatari

    Jibu

    Daah corona noma

    Jibu

    Corona ni jangaa

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana

    Jibu

    Duuh hatari sana jmn!

    Jibu

    Hatari jmn

    Jibu

    Dah apo itakua ngum kuchez mechi

    Jibu

    Korona inatisha tujihadhar sana kwa wanamichezo

    Jibu

    bad news

    Jibu

    Lishakua janga la dunia

    Jibu

    Coronavirus sio poa

    Jibu

    duh

    Jibu

    Corona nomaa

    Jibu

    Daah kweli corona bado tishio dunian kote

    Jibu

    Corona hatari

    Jibu

    Hili gonjwa lipite tuu

    Jibu

    Daah very hamrful and sad news.

    Jibu

    Corona tena jamani

    Jibu

    Corona bado imewaganda wazungu

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Corona tishioo la dunia nzima

    Jibu

    Hatari sana

    Jibu

    Duu iligonjwa mbona linazidi kutapakaa kwa wachezaji siatari hiyo tumuombe mungu iligonjwa lisizidi kiwango kwasababu mpaka ligi itastop

    Jibu

    Majanga kwl

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.