Mashindano ya French Open 2020 yanaendea nchini Ufaransa. Novak Djokovic anaendelea kuonesha uwezo wake kama mchezaji namba 1 duniani.
Djokovic alikuwa uwanjani kupambana na Ricardas Berankis katika mzunguko wa 2 wa mashindano hayo ya Roland Garros – French Open.
Katika mchezo ambao ulikuwa ni mrahisi kwa Djokovic, yeye hakutaka kupoteza hata pointi moja na alikua mkali kuzitafuta na kuzitumia nafasi zote alizozipata. Mpaka mchezo unakwisha, Novak Djokovic aliibuka kidedea kwa seti 6-1 6-2 6-2.
Baada ya kumaliza mchezo ambao walitumia saa1 na dakika 23, Djokovic alisema, ” ninajisikia vizuri. Ninadhani nitaendelea kuwa hivi.”
Djokovic yupo katika harakati za kutafuta taji la 18 la Grand Slams kupitia mashindano ya French Open 2020. Wapinzani wake wakuu ni Rafael Nadal na Domic Thiem.
Sasa Djokovic amefuzu mzunguko wa tatu na atachuana na Daniel Elahi Galan ambaye amemuondoa Tennys Sandgren katika mchezo wa mzunguko wa pili wa French Open 2020.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Adelta
Djokovic yupo vizuri na anajuwa vyema anachokifanya
Tatu
Djokovic anazidi kungaa
magdalena
djokovic anajua kupambana sana ka upande wa mwanaume kucheza tennis hana mpinzani
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali Sana Djokovic anazidi kuwa kwenye nafasi Nzuri anajua jamaha huyo
Fatina mfigi
Djokovic yuko vizur
Janeflora malisa
Ni vzr san
Dorophina
Djokovic yupo vizuri sana anajua nini anafanya
Zuhura omary kindamba
Namkubali sana uyu djokovic
Khadija
Djokovic yupo mahili sana
Elika
Novat hana mpinzani
Caroline
Hongera sana
Hopemwaikuka
Djokovic unazid kunipa raha
aisha
Jamaa hanaga kazi mbovu uyo
Rehema
Hongera yake
Mwanahamisi
Namkubali sana
Venerose
Endelea kukaza buti
Nasra
Raha kwenda mbele
Neema
Aongezee juhudii kwa kwelii
Nasra
Raha kwenda mbele tu
Zeiyana
Mda wake wa kutamba huu djokovic ukichana na Selena
Sauda
Hongera yake
Mwajumah
Hongera yake
Povel
Djokovic mpambanaji sana natumain taji la msimu huu linamuhusu
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizuri
Shani
Djokvic noma huyu mtu anatikisa kwenye tenis ubingwa wa French open utmhusu
Ernest
Djokovic hataki tena uteja
lombo
habar njema
Issa
Djlovik moto
Sabrina
Novak Djokovikc yuko vizuri
Angelina
Habari njema
Amiri Kayera
Anaonyesh uwez wake km bado yupo vzur
Latifa juma mohamed
Hongera saana.
Gabriel
Djokovic anazidi kung’aa
David Pere
Djokovic mpambanaji sana natumain taji la msimu huu linamuhusu
Samiah
Safi