Klabu ya Manchester United wamekuwa wakikimbizana na saini ya Jadon Sancho kwa dirisha lote la msimu huu wa joto bila mafanikio.
Msimamo wa Borusia Dortimund ni kuwa wasingeweza kumuachia Sancho aondoke kwa dau tofauti na €120m (£108m) walilokuwa wanataka, na Man United hawapo tayari kulipa dau hili.
United waliendelea na jitihada za kufanya mazungumzo juu ya juu ya staa huyu. Ilikuwa inatarajiwa United wangekamilisha uhamisho wake dakika za mwisho za dirisha la usajili.
Wakati dirisha la usajili likiwa linafungwa tarehe 5, na United wakiendelea na jitihada za kukamilisha dili la Sancho, taarifa zimekuwa tofauti upande wa pili.

Mkurugenzi wa wa michezo wa Borusia Dortimund, Michael Zorc ameonya kuwa Manchester united hawatamsajili kinda huyu kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
Zorc anasema:
“Tulishaongea na Man United, kitu chochote kinachopaswa kuzungumzwa juu ya hili tulishazungumza, mimi na wengine kutoka Borusia Dortimund. Hilo halitabadilika kwa siku mbili-tatu zilizobakia”
Licha ya kusisitiza mara kadhaa kuwa Sancho hataondoka, huenda, United watafanikiwa kuwashawishi Dortimund ikiwa watalipa dau la awali walilowekewa mezani.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Lydia Emmanuel Magoti
Man U ongezen dau apo mchukue jembe huyo Mnayumba wapi kupata Sain ya Sancho
Fatina mfigi
Duuh pole yenu man kwa kukosa sain ya kijan!!
Caroline
Sancho Bora abaki Dortmund
Tatu
Dortimund awakuwa tayari kumuachi sancho ingawa man u walijitahidi sana kupata sain yake
magdalena
united waachane tu na swala la kumdaka sancho watafute mbadala mwingine
Nasra
Man U msiache kijana akawatoka
Elika
Abakie hapo hapo Dortmund
Adelta
Sancho baki tu Dortimund
Angelina
Goodupdate
Mwanahamisi
Man u aongeze dau
Dorophina
Man u wanakwama wapi kwani lazima sancho watafute mchezaji mwingine atakaye kava iyo nafasi
Venerose
Man tafuteni mbinu mbadala
Shani
Shida ya kumtegemea mchezaji mmoja
Mwajumah
Sancho bola abaki dortimund
felister
man u ebu sahaulini kabisa Sancho kutua wodtrafod
Amiri Kayera
United ikitak itamsajir pesa ipo
Sauda
United watafute mchezaji mwingine
Hopemwaikuka
Sorry for man U
Hidaya
Man u nao si waongeze dau
Zeiyana
Sancho yupo vizuri man u waongeze vishawishi ili wapate sain ya Sancho
Issa
United wako sahih sancho hajafikia viwango vikubwa kias kutoa pesa nyingi kias
aisha
Sancho usiende kokote baki hapo hapo
Povel
United wanatak sain ya Sancho shida mpunga hapo
Rehema
Iko poa
Saupha mohamed
Kabsa Sancho ajafikia kiwango ichoo
Gabriel
Hawa jamaa sijui wanakwama wap man u
Neema
Sancho usiende kokotee
Rose kapinga
Pesa itumike hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Sabrina
Sancho amekua kizungumkuti
David Pere
Sancho yupo vizuri man u waongeze vishawishi ili wapate sain ya Sancho