Radja Nainggolan, Robert Gagliardini na Ionut Radu wote wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada kufanyiwa vipimo, klabu ya Inter imetangaza.
The Nerazzurri wametoa taarifa siku ya Ijumaa, siku nane kabla ya kuelekea mchezo wa debi ambapo watakabiliana na mahasimu wao Milan, wamesema wachezaji hao watatu walionesha dalili za kuwa na maambukizi ya COVID-19.
Vipimo kwa wachezaji hao vilifanyika klabuni katika makao makuu ya viwanja vya mazoezi vya Appiano Gentile.
“FC Internazionale Milano inatangaza kwamba Radja Nainggolan na Robert Gagliardini wamekutwa na maambukizi ya COVID-19 baada ya kufanyiwa vipimo Appiano Gentile siku za hivi karibuni,” Inter walisema.
“Ionut Radu pia amekutwa na maambukizi asubuhi ya leo (Ijumaa) baada ya kufanya zoezi la upimaji jana vipimo zaidi vitaendelea siku ya kesho.
Kiungo Gagliardini alianza katika michezo miwili iliyopita ya Serie A kwa Inter na alifanikiwa kufunga goli moja na kutoa asisti katika ushindi wa 5-2 wa Inter Milan dhidi ya Benevento mwezi Septemba 30.
Nainggolan alirejea San Siro msimu huu baada ya kutumia msimu uliyopita na Cagliari kwa mkopo, ingawa alicheza dakika 15 pekee akitokea benchi kwenye mchezo dhidi ya Fiorentina.
Mlinda mlango wa ziada Radu hajawahi kuanza kwenye michezo ya Serie A na alicheza mchezo pekee wa ligi katika timu ya Inter alitokea sub mwaka 2016.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Magdalena
Huu ugonjwa ni balaa sana Mungu atusaidie
Samira
Jamani corona kila siku
Caroline
Corona nomaa
Angelina
Hii covid19 mbona kama ndo inazid
lombo
sad news
Shani
Janga hili ni htr
Fatuma kasomo
Dah poleni sana
Neema
Pole yao
Issa
Covid 19 imekua ni tatizo sana kwenye soka
Povel
Janga la dunia hlo COVid 19
Hopemwaikuka
Hili janga jamanii aliishi
David Pere
Ni majanga huu ya majanga tu
Adelta
Coronavirus ni hatari sana tumwombe MUNGu atuepushe na hili gojwa
Ernest
Corona bado inaendlea kusumbua Italia na Spain kwa kiasi kikubwa sana
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Corona bado ina umiza watu vichwa mungu awasaidie hao wachezaji
Venerose
Hongera kwa kupona
Janeflora malisa
Mungu awasaidie
Rehema
Hongera yake
Mariam mtandama
Hongera yake
Mariam mtandama
Pole yao
Tatu
Inabidi wachezaji wawe makini na huu ugonjwa
Sadick
Awali timu nzima wangeenda karantini lkn kwa sasa anaenda yule tu aliyebainika kuwa na maambukizi#meridianbettz
Sabrina
Mungu atawaponya
felister
duh
aisha
Jamani ugonjwa huu ni janga la dunia poleni sana ndugu zetu
Nasra
Hongera
Amiri Kayera
Covid19 inalostisha mchezo wa mpila
Zeiyana
Mambo mengi sana yatabadilika kutoka na na ugonjwa huu
Salma ngende
Pole yao
latifa juma mohamed
So bad story.
Saupha mohamed
Poleniii
Sauda
Pole yao
Gabriel
Covid 19 imekua ni tatizo
Fatina mfigi
Corona sio powah kwa kweli
Mwajumah
Mambo mengi yatabadilika kutokana na ugonjwa huu
Rose kapinga
Pole yao