Aliyekuwa nyota wa Tottenham, Christian Eriksen ameweka wazi kuwa hataki tena kuendelea kukaa benchi katika timu yake ya sasa ya Inter Milan.
Christian Eriksen alikamilisha uhamisho wake kutoa Tottenham kwenda Inter mapema mwezi Januari, na tangia hapo hajakuwa akipewa namba kikosini mara kwa mara. Suala hili limekuwa likimvunja moyo sana na ameamua kufunguka juu ya kile anachokitarajia msimu huu.
Katika mkurano na waandishi wa habari Eriksen amesema kuwa kwa msimu huu hatarajii kuwepo nje ya uwanja msimu mzima, na sio kitu ambacho anakitaka, na anaamini kuwa siyo kitu ambacho klabu ingekitaka
“Kuna matarajio makuibwa dhidi yangu, watu walidhani ningefanya tofauti katika kila gemu, lakini haikuwa hivyo. Hivyo wananiangalia kwa jicho tofauti” -Christian Eriksen
Baadhi ya ripoti kutoka Itlia zinasema kuwa nyota huyu aliikataa nafasi ya kuhamia Bundesliga baada ya kukataa dili la mkopo kwenda Borusia Dortmund. Lakini Ericksen mwenyewe anasema haelewi ukweli ni upi katika hilo kwa kuwa hakuzungumza kitu chochote na wakala wake.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Angelina
Goodupdate
Issa
Totenham ilifanya mistake kumuacha fundi kama huyu sasa inter wanafaidika na huduma safi ya kiungo huyu
Povel
Alifany makosa makubwa kuondok spurs naona chamoto anakiona ndani inter milan co erikson angerud nyumban kumenoga
Hopemwaikuka
Jaman wampe nafas na yy asikae bench
David Pere
Totenham ilifanya mistake kumuacha fundi kama huyu sasa inter wanafaidika na huduma safi ya kiungo huyu
magdalena
inter nao wanakosea kama waliona hana msaada wowote na timu walimchukua wa nini
Adelta
Mashabiki tunashukuru kwa makala nzuri
Ernest
Eriksen anaweza potea mapema sana kwenye ulimwengu wa soka
Caroline
Benchi linaboa. Jmn.
Venerose
Asante kwa taarifa
Lydia Emmanuel Magoti
Nikweli anacho kisema kiungo huyo kusugua benchi mudi inashuka yakimpila wamfikilie nae awe anapangwa kwenye kikosi
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif
Tatu
Ni kweli anaweza kupotea mapema
Rehema
Asante kwa makala
Mariam mtandama
Habari njema
Sadick
Alikuwa na matarajio makubwa kwa bahati mbaya amekutana na ushindani wa namba, hana chaguo zaidi ya kupigania nafasi ya kucheza#meridianbettz
felister
benchi linaboa sana
aisha
Inter mmepata kifaa ambacho kinajua nini maaana ya mpira
Zeiyana
Kuna makosa mengine yaangaliwe kumpa mchezaji azabu ya kukaa bechi kama kumpotezea kipaji chake tu
Fatuma kasomo
Benchi sio poa
Nasra
Asantee kwa taarifa
Amiri Kayera
Anatakiwa apambanie namba
Shani
Eriksen Tottenham itajuta kumuacha na inter imelamba dume
Sabrina
Kukaa bench sio Poa utasahauruka na mashabik
Salma ngende
Dah inakuwa ngumu kwa upande wake
Saupha mohamed
Duuu nomaa
Sauda
Bench hatariiiii
Gabriel
Eriksen anaweza potea
Fatina mfigi
Benchi sio kitu kizur kwa mchezaji yoyote
Mwajumah
Ni kweli anaweza kupotea mapema
Rose kapinga
Kweli amechoka kusugua benchi