Manchester City kama zilivyobaadhi ya timu zingine kubwa, zimeuanza msimu wa 2020/21 kwa kusuasua. Licha ya kuonesha kiwango cha kupanda na kushuka, Pep Guardiola anasisitiza mvua ya magoli itakujua.
City wamekuwa wakishambulia timu nyingi lakini wanaupungufu mkubwa wa magoli ya kufunga kuliko ilivyozoeleka kwa timu hiyo.
Mchezo dhidi ya Olympiakos kwenye Ligi ya Mabingwa ni kielelezo sahihi katika hili. Pep Guardiola alishuhudia timu yake ikiutawala mchezo huo kuanzia mwanzo, City walipiga jumla ya mashuti 22 yaliyolenga goli la wapinzani ila waliambulia goli 1 tu.
Ilkay Gundogan na Bernado Silva walikosa nafasi za kupachika magoli katika ushindi uliowahikikishia City hatua ya 16 bora kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa.
Baada ya ushindi huo uliopatikana dakika ya 34 kwa goli pekee lililofungwa na Phil Foden aliyeitumia pasi nzuri kutoka na Rahim Sterling, Guardiola alisema ” (Magoli) yatakuja. tunapenda kufanya kazi zaidi, lakini siku moja yatakuja na tutavunja kila kinachosemwa.
“Tulicheza vizuri kwenye kila idara. Tumeshafuzu kwenye hatua inayofuata, sasa tunaweza kuitazama zaidi Premier League na mashindano mengine.”
Manchester City watawakaribisha Burnley kwenye dimba la Etihad wikiendi hii katika muendelezo wa michezo ya EPL.
Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.



Khadija
Mambo yamekuwa mambo
Saupha mohamed
Man city sas a ijipange
magdalena
guardiola akijipanga vyema kweli timu yake itafanya vizuri sana
Adelta
Man City ajipange
Dorophina
Guardiola akijipanga hakuna kinacho shindikana
Tatu
Man city wajipange
Sarah
Man city wajipange
aisha
Shuhuli ipo kwa man city
David Pere
Pep Guardiola alishuhudia timu yake ikiutawala mchezo huo kuanzia mwanzo, City walipiga jumla ya mashuti 22 yaliyolenga goli la wapinzani ila waliambulia goli 1 tu.
Genia Sikaluzwe
Mambo yanazidi kuwa mambo
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa man City ijipange
Hopemwaikuka
Tunasubr kwa hamu sis kama mashabik
Caroline
Kazi kweli kweli
Fatina mfingi
Kazi itakuwepo
samiah
Kazi ipo
Rahma
Kazi sio ndogo
Sauda
Man City kazi wanayo
warda
Huyu jamaa namwamini sana analosema linakuja