Baada ya kuanza msimu na kukosa muendelezo mzuri, Manchester City itataka kuendelea na rekodi yao kubwa dhidi ya Newcastle na kupunguza gepu kwa viongozi wa EPL Liverpool.

Vijana wa Pep Guardiola wapo nyuma kwa alama nane kwenye msimamo wa Premier League kutoka kwa Reds lakini wana mchezo mkononi na wanatafuta kujiweka katika nafasi ambayo wanaweza kutumia faida yoyote.
Wameshinda mara 11 mfululizo nyumbani dhidi ya Magpies, wakifunga mara 39 katika mbio hizo, Newcastle haijawahi kushinda mchezo wa ligi kwenye Uwanja wa Etihad.
Sergio Aguero amefunga mabao mengi (15) dhidi ya Newcastle kuliko timu nyingine yoyote na atakuwa fiti kwa pambano hilo baada ya kutoka benchi kwenye ushindi wa katikati mwa wiki dhidi ya Arsenal.
Jamaal Lascelles na Allan Saint-Maximin wote wanakabiliwa na athari za virusi vya Corona kwa muda mrefu na hawana uwezekano wa kuhusishwa kwenye mchezo huo.
Kikosi cha Manchester City Kinachoweza Kupangwa:
Ederson; Cancelo, Dias, Stones, Mendy; Rodri, Gundogan; Mahrez, De Bruyne, Sterling; Torres
Kikosi cha Newcastle United Kinachoweza Kupangwa:
Darlow; Yedlin, Hayden, Clark, Lewis; Almiron, Shelvey, Longstaff, Ritchie; Wilson, Joelinton
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



warda
Mechi bomba sana hii ila city anakufa
Sarah
Mechi kali sana ila ngoja tusubiri matokeo
Rahmal
Mmm ngoja tuone
Lydia Emmanuel Magoti
Mechi yatari hii
Ernest Kimeru
Aguero angekuwa msaada mkubwa sana leo kwa Mancity
Salma ngende
Big mech
Latifa juma mohamed
The big match Leo patachimbika.
Issa
Mech kali
Saupha mohamed
Mechi kali
Hopemwaikuka
Kaliii
Tatu
Mechi kali
Mwanahamisi
Big mechi