Ilkay Gundogan amedai safu kali ya ulinzi kwa Manchester City utahakikisha wanabaki kuwa nguvu hata wakati hawana wachezaji muhimu wa kushambulia.

City ilipata ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United siku ya Jumamosi kutokana na magoli ya Gundogan na Ferran Torres kusonga mbele ya alama tano za viongozi Liverpool.
Ilikuwa ni clean sheet yao ya 13 msimu huu kwenye mashindano yote, zaidi ya timu nyingine yoyote kwenye ligi tano bora za Uropa msimu huu.
“Tumekuwa imara katika safu yetu ya ulinzi,” kiungo wa Ujerumani Gundogan aliiambia BT Sport.
“Ikiwa tunaweza kuiweka imara nyuma basi kila wakati tunajipa nafasi kwa sababu tunajua tutafunga mabao.
“Katika kipindi cha kwanza haswa, nilihisi kama tulisogeza mpira vizuri. Hali ya hewa haikuwa nzuri hapa leo, lakini nadhani tulikuwa na kiwango thabiti.”
City ilimkosa Gabriel Jesus, amepata COVID-19, wakati Sergio Aguero alitumiwa tena kama mbadala wakati Pep Guardiola akipunguza mzigo wake wa kazi wakati wa kurudi kutoka kwenye kuuguza majeraha.
Gundogan alisema wachezaji wengine wataendelea kupiga hatua na kuweza kufunga magoli wakati wowote wanapokuwa bila washambuliaji wanaotambuliwa wa timu hiyo.
“Nadhani tunapaswa kushiriki jukumu la kufunga kwenye uwanja kila wakati,” akaongeza.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana
Issa
Gundogan moto
warda
City wako poa sana
Rahmal
Safi
Adelta
Good
Shakila mrope
Good New
Sarah
Vizuri
Chiku
Excellent 👏👏👏
Tatu
City wako poa
Mwanahamisi
City wapo vizuri
Dorophina
City mda wote wapo tayari
Hopemwaikuka
Sio vbaya
Angelina
Safi